Barua ya MwanaJF kwa mkewe....

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Hii imeokotwa katika dust bin la humu JF, bado nafuatilia mwandiko huu ni wa nani nitawajuza ni ya nani.....

"Dear mke wangu,bila shaka u mzima wa afya dhumuni la barua hii ni kuomba kama utakuwa na nafasi jumatano ya wiki hii unipe nafasi tena ya unyumba manake hali si hali najua una uchovu mwingi lakini ni mwezi sasa manake barua zangu mbili zilizopita hukuzitolea majibu......

Wako katika ndoa baba......
 
Inabidi mchambue kwanza ID na Waume wanaotambulika kwa vianzio hvyo vinavyoanzia na Baba.
Baba V, Baba Enock au Baba Ngina.

Wengine muendelee.
 
Last edited by a moderator:
Hii imeokotwa katika dust bin la humu JF, bado nafuatilia mwandiko huu ni wa nani nitawajuza ni ya nani.....

"Dear mke wangu,bila shaka u mzima wa afya dhumuni la barua hii ni kuomba kama utakuwa na nafasi jumatano ya wiki hii unipe nafasi tena ya unyumba manake hali si hali najua una uchovu mwingi lakini ni mwezi sasa manake barua zangu mbili zilizopita hukuzitolea majibu......

Wako katika ndoa baba......
Hahahahahahaaaaaaaa aisee lo mbona nahisi kama ni barua niliyomuandikia Amyner ?
Dah ngoja nichunguze nione ni wa nani
 
Last edited by a moderator:
hiyo barua nilitumiwa na Bishanga ana mawivu ya kupita kiasi nikamwambia kama unataka kipindi cha mambo jambo awe anatuma application letter na isiwe zaidi ya mara 2 per month
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom