Barua ya maombi ya kazi Utumishi

moreen baby

Senior Member
Feb 20, 2014
127
23
habari zenu wapendwa naomba kuuliza ukiwa unatuma maombi ya kazi utumishi ni muhimu barua kuandikwa kwa mkono au unaweza ukatype kwenye komputer msaada tafadhali
 
Kama una muandiko safi si vibaya ila kama mwandiko wako ni shida kwa wengine ni vizuri kutype
 
moreen baby halafu usisahau kuandika position uliyoomba nje ya bahasha mimi nlifanya kosa hilo sikuandika nasubiria Neema Muujiza waungu ili labda nami ntaitwa...
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wapendwa naomba kuuliza ukiwa unatuma maombi ya kazi utumishi ni muhimu barua kuandikwa kwa mkono au unaweza ukatype kwenye komputer msaada tafadhali

Aina zote zinakubalika. Iwe kwa mkono au typed yote sawa. Kitu kikubwa kinachoamgaliwa ni qualifications (or experience). Pia jinsi utakavyojieleza ktk interview.
 
moreen baby halafu usisahau kuandika position uliyoomba nje ya bahasha mimi nlifanya kosa hilo sikuandika nasubiria Neema Muujiza waungu ili labda nami ntaitwa...

Hii Sio shida sana kwa sababu barua bado itaenda na kumfikia mlengwa ili mradi imeandikwa address sahihi iliyotolewa kwenye tangazo.
 
Last edited by a moderator:
moreen baby halafu usisahau kuandika position uliyoomba nje ya bahasha mimi nlifanya kosa hilo sikuandika nasubiria Neema Muujiza waungu ili labda nami ntaitwa...

kama kuna uwezekano ni bora ukarudia kutuma tena maombi.
 
Last edited by a moderator:
as human resource officer I advice you to write with your own handwriting....
 
Watu kutoka utumishi walifika chuo na kuwaelimisha wajuu juu ya suala hili, nakuu " ofisi zote za umma kama hujapewa maelekezo juu ya kuandika hiyo barua, basi hapo moja kwa moja unatakiwa uandike kwa mkono wako" mwisho wa kunukuu!
 
asante sana mkuu ntafanya ivoo
 
Watu kutoka utumishi walifika chuo na kuwaelimisha wajuu juu ya suala hili, nakuu " ofisi zote za umma kama hujapewa maelekezo juu ya kuandika hiyo barua, basi hapo moja kwa moja unatakiwa uandike kwa mkono wako" mwisho wa kunukuu!

je kama una mwandiko mbaya na mchafu uandike tu hivyo hivyo?
Je na cv nayo unapaswa kuandika kwa mkono?
Je kuna yeyote aliyewahi kuandika kwa computer na akashindwa kuitwa kwa interview?
Je wale wote walioitwa kwa interview waliandika barua zao kwa mkono?
Na kwa nini wananasisitiza uwe computer literary halafu watake barua ziandikwe kwa mkono?
 
kwani barua yako uki type ndo kigezo cha ww kuwa unaweza mambo ya kompyuta mkuu???
Cv haiwezi kuandikwa kwa mkono, na the reason behind for handwritten application, wanasema wana saikoloji hiyo inasaidia ktk kujua u smart wa applicant!
Na kama kuna watu wamewahi kuitwa na wali type ndo wajitokeze hapa watu tolee utata!
 
Mi nimewahi kuomba kazi mara tatu Utumishi and i typed all my letters, believe me niliitwa kwenye interview mara zote tatu. Kwahiyo kuandika kwa mkono au kuchapa does not carry any weight maana some people have very bad handwriting but they are very knowledgeable.
 
kwa hiyo mantiki ni ile ile tu, kuandika kwa mkono au kutype vyote sawa tu.
Muhimu ni umakini wako katika kufanya hivyo.
 
Mi nimewahi kuomba kazi mara tatu Utumishi and i typed all my letters, believe me niliitwa kwenye interview mara zote tatu. Kwahiyo kuandika kwa mkono au kuchapa does not carry any weight maana some people have very bad handwriting but they are very knowledgeable.

comrade!
thanks alot for your Testimonial.
 
Back
Top Bottom