Barua ya livingstone yapatikana

Hili jibu la nani aliandika autobiography ya Tippu Tip lilikwishajibiwa na BintMkongwe hapo juu.Baina ya post yake na yako ni 4posts.Kama wewe ni mtu madhubuti usingepaswa kunijibu mimi tena wala kuniuliza wala kushangaa kwamba hujajibiwa.
Wasioelewa post zako humu JF sio mimi peke yangu.Nimeona mara nyingi ukibezwa bezwa.Na kwa kweli hueleweki ndio maana ikawa hivyo.Mimi post zako huwa naziona kama jalala sio kituo cha polisi tu, na huwa nazikwepa kuzijibu.Lakini pale niliona kidogo labda umeuliza cha maana na ukijibiwa utaelewa imekuwa yale yale.
Kwenye hii mada post no.7 umesema."Labda mueke source za hizo habari za Tip Tip kutokufanya biashara ya utumwa, ilhali hiyo nickname inasemekana alipewa kufuatia ukatili wake na mlio wa bunduki yake."
Kwani mlio wa bunduki ya Tip tip ndio ushahidi kuwa yeye alifanya biashara ya utumwa?.Wewe Abdulhalim tukisikia unalia kwani lazima iwe umefiwa.Yawezekana umezomewa tu kwa upuuzi wako.

We lazima utakuwa unabinuliwa..sasa kama unaona swali limejibiwa, kisa cha wewe kueka huo upupu ni nini? Sasa unataka tujadili hoja za mtu aliejielekezea yeye mwenyewe?

Bure kabisa...............
 
Yaani ninyi kweli mngetegemea Tippu Tubu aandike biography akikiri kuwa alishiriki biashara ya utumwa. Hata King Leopold hakukiri kuwa aliwakata mikono Wakongomani waliokataa kufanyishwa kazi kwa nguvu katika misitu ya miti ya mpira. Biografi zinazoandikwa na wahusika huwa zina lengo la kuwapamba si kueleza ukweli wote wa maisha yao.
 
Back
Top Bottom