Barua ya kuachana...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
dear_ex-girlfriend.gif :smash::smash::smash::smash:
 
Kumbe aliyeimba, "kampa demu simu walipoachana kampokonya" aliona mbaliiiii.... Na demu naye akiomba kurudishiwa utamu wote aliokupa.......?
 
hoolala hata mie nimeimind sana aswa pale anaporudisha mkwanja ili ukatumie na mwingine.mimi nilimnunulia na gari kabisa mbona nita tajirika akirudisha!
 
akimchoka huyu wa sasa akipata mwingine na atadai hivihivi so fun...ingekuwa ni mbongo sijui angedaiwa mpaka nyama choma/beer/nauli za bajaji
 
nilipokuwa std. 3, niwahi kumfanyia mdada mmoja, anaitwa Jacky. nilimdai penseli, ufulio, na kichongeo, nilivyompa.
 
Back
Top Bottom