mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,412
- 8,398
Achana na huyo kiazi mie nilibahatika kumsikiliza mzee Butiku,Hans Kitine na mzee mmoja wa ccm ni mgeni machoni mwBarua iliandikwa 2005 kabla ya uchaguzi!!!
angu wiki iliyopita kwenye kipindi cha je, tutafika cha channel ten walizungumzia hiyo barua iliyoandikwa kwa Mkapa na mengine mengi yote yanafanyika kinyume hasa makundi ndani ya ccm ni kweli kama alivyosema mchangiaji mmoja haya unayoyaona ni matanga ya ccm.