C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Dear Nyerere, tangu ufe mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh Ponda ni IGP, na pia rais anaishi Airport na pia wanasema tanzania imetokana na visiwa vya pemba na zimbabwe
Ongezea na yako
Ongezea na yako