Barua hii ya Kijasusi kutoka Uingereza kuhusu uchunguzi wa mtoto wa mgombea Urais Mtarajiwa ....

Status
Not open for further replies.

Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,581
18,124
Kama ni serious kiasi hiki,je Barua hii ya kijasusi kuhusu uchunguzi wa 'money laundering' dhidi ya huyu mtoto wa Mgombea Urais mtarajiwa imefikia wapi?Ilishawahi kutolewa ufafanuzi na vyombo vyetu vya usalama au wahusika wenyewe?

Confidential.jpg
 
Hii issue ilishazimwa kitambo tu mkuu.

MaCCM tunaomba wampitishe mamvi iwe kuizika rasm ccm.
 
acha PROPAGANDA zako wewe! hii barua ipo kitambo tu humu JF, miaka sita imepita hakuna chochote kilichothibitishwa
ila nashukuru kama CHAGADEMA mnamtambua kuwa EL ndio mgombea wa chama tawala
Mbona mnakuwa na mihemko ya kishabiki sana? Hata kama hiyo barua nia ya mwaka 1990, kama bado ina jambo lihusulo maslahi ya Watanzania bado inatakiwa kuzungumziwa. Achane ushabiki wa vyama, tuweni Watanzania kwelikweli. Wewe ungeshusha hoja zako kutuonyesha kuwa kwa nini unadhani kuwa haina umuhimu tena kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Barua hii ni mawasiliano ya kinteligensia kati ya vyombo viwili. Ndio maana imeandikwa kabisa "for intelligence use only". Hii barua imevujishwa na watu wenye malengo yao binafsi. Haikulengwa kwa jamii. Hivyo hata majibu yake yatarudi kwa aliyeandika. Kama wewe unataka kujua kuhusu majibu yake unatakiwa kumuuliza huyo aliyeivujisha hii. Mimi nadhani huyo aliyevujisha hataki kuvujisha mrejesho wa barua hii kwa sababu naamini uchunguzi UMEMSAFISHA mtuhumiwa! Badala yake anapendelea ibaki hii hii moja ili watu waendelee kuwa na mashaka na lowassa.
Uingereza hawana mchezo kama tuhuma hizi zingekuwa za kweli kingeshanuka zamani. Hakuna kitu hapo.
 
acha PROPAGANDA zako wewe! hii barua ipo kitambo tu humu JF, miaka sita imepita hakuna chochote kilichothibitishwa
ila nashukuru kama CHAGADEMA mnamtambua kuwa EL ndio mgombea wa chama tawala

Labda katika ccm ya mafisadi tu na siyo kwa Watanzania wanaohitaji mabadiliko.
 
Barua hii ni mawasiliano ya kinteligensia kati ya vyombo viwili. Ndio maana imeandikwa kabisa "for intelligence use only". Hii barua imevujishwa na watu wenye malengo yao binafsi. Haikulengwa kwa jamii. Hivyo hata majibu yake yatarudi kwa aliyeandika. Kama wewe unataka kujua kuhusu majibu yake unatakiwa kumuuliza huyo aliyeivujisha hii. Mimi nadhani huyo aliyevujisha hataki kuvujisha mrejesho wa barua hii kwa sababu naamini uchunguzi UMEMSAFISHA mtuhumiwa! Badala yake anapendelea ibaki hii hii moja ili watu waendelee kuwa na mashaka na lowassa
Uingereza hawana mchezo kama tuhuma hizi zingekuwa za kweli kingeshanuka zamani. Hakuna kitu hapo.

Well said!
 
Baba mwizi kamfundisha na mtoto mwizi.naona hajasikia yaliyompata Karim wade.serikali tunaomba rais ajaye hiyo Nyumba iuzwe fedha zirudi serikalini.
 
Barua hii ni mawasiliano ya kinteligensia kati ya vyombo viwili. Ndio maana imeandikwa kabisa "for intelligence use only". Hii barua imevujishwa na watu wenye malengo yao binafsi. Haikulengwa kwa jamii. Hivyo hata majibu yake yatarudi kwa aliyeandika. Kama wewe unataka kujua kuhusu majibu yake unatakiwa kumuuliza huyo aliyeivujisha hii. Mimi nadhani huyo aliyevujisha hataki kuvujisha mrejesho wa barua hii kwa sababu naamini uchunguzi UMEMSAFISHA mtuhumiwa! Badala yake anapendelea ibaki hii hii moja ili watu waendelee kuwa na mashaka na lowassa.
Uingereza hawana mchezo kama tuhuma hizi zingekuwa za kweli kingeshanuka zamani. Hakuna kitu hapo.

mbona unatoa hoja za kusadikika wewe wa wapi kama unazo hizo barua za kusafisha si uweke hapa siyo unatuletea stori.
 
Inaonekana washabiki wa mafisadi ni kwa namna gani hamna uzalendo wala uchungu na taifa . Ninyi ni wasaliti wa umma na diyo maana kumbe hamjali uchafu wala kashifa za watu na historia zao kwenye mauaji ya taifa.

Unasemaje wewe kuhusu ujumbe ulioko kwenye huu waraka. Una umuhiimu wowote kwa maslahi ya taifa ama hauna?

Naomba ujibu hoja.

Back
Top Bottom