Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Eeeehhheee Nchi yangu Tanzania ni lini utatoka mikononi mwa viongozi waliokugeuza kuwa shamba la bibi!!!?
nchi yetu inaghitaji maombezi sana nje yahapo tutakuwa tunacheza ngoma na zeze za kisukuma tu
Matatizo yote haya ni kutokana na Serikali DHAIFU. Sioni kwa nini wawekezaji wanapoingia nchini eti wapewe miaka mitano ya kuvuna utajiri wa Watanzania bila kulipa kodi. Mwekezaji/mchukuaji anaingia nchini kuja kuvuna rasilimali za Tanzania iwe dhahabu, Tanzanite, Almasi, Uranium, Gas n.k. ni lazima atozwe kodi mara tu anapoanza shughuli za uchimbaji wa madini hayo.
Angalia hawa Barrick wamevuna dhahabu yetu kwa miaka 12 bila kulipa kodi. Walisaini mkataba mwaka 2000 wakati huo bei ya ounce moja ya dhahabu katika soko la dunia ilikuwa $220 lakini miaka ya karibuni bei ikapanda hadi kufikia karibu na $2,000 kwa ounce!!! karibu mara 10 ya ile bei ya mwaka 2000 wao na shareholders wao walineemeka sana kutokana na ongezeko hilo la bei lakini Tanzania na Watanzania hawakufaidika na hata senti moja. Sasa wanaambiwa waanze kulipa kodi wanaanza kutafuta visingizio vya kutaka kuondoka nchini mara matatizo ya umeme kama vile hawakuyaona matatizo hayo ambayo yapo nchini tangu walipoingia mwaka 2000
Wanachofanya ni wizi lakini Kikwete pamoja na kuahidi katika kampeni za 2005 kuibadilisha mikataba hiyo ili iwe na maslahi kwa Watanzania kaendelea kukenuakenua tu miaka yote hii si ajabu naye ni mmoja wa shareholders wa Barrick.
Its always darkest before it turns absolutely pitch black....
So my fellow countrymen prepare ye self for the worse
Mkuu Wachina hawa wa leo si sawa na wale wa mwaka 47, ninaamini lazima watafanya tathmini ya kina kuhakikisha hawauziwi mapango.
nchi yetu inaghitaji maombezi sana nje yahapo tutakuwa tunacheza ngoma na zeze za kisukuma tu
Kibaya zaidi Muhongo katika sheria za kodi mwaka huu ameleta amendment kwamba migodi ikiuzwa wasilipe VAT/capital gains na Wachina wamekubali kununua Barrick kwa dola bil 3.1 hivyo tutakosa kama dola mil 600 si na yeye amehongwa kweli au unadhani ni coinsidence hata Barrick wakiondoka hawatalipa kodi kama Airtel ila michezo yao CCM wacheze ila NSSF watupe kabla ya kuja hao wachina bora tukaanzishe shuguli zetu binafsi la sivyo patachimbika kama South Africa.Matatizo yote haya ni kutokana na Serikali DHAIFU. Sioni kwa nini wawekezaji wanapoingia nchini eti wapewe miaka mitano ya kuvuna utajiri wa Watanzania bila kulipa kodi. Mwekezaji/mchukuaji anaingia nchini kuja kuvuna rasilimali za Tanzania iwe dhahabu, Tanzanite, Almasi, Uranium, Gas n.k. ni lazima atozwe kodi mara tu anapoanza shughuli za uchimbaji wa madini hayo.