..... "Barnaba.. He is a bad ass"... Kasema DIVA wa clouuds...

Hilo neno (He is a bad ass... = ni sifa tu (could be +ve or -ve), nadhani alikuwa anamanisha jamaa ni mkali saana katika Musik). Halina tatizo, inategemea na kitu gani ambacho alikuwa anakizungumza na kwa walengwa/wasikilizaji wa kipindi hicho. off-course hilo ni rude words huwezi kulitumia kwenye watoto na watu wenye heshima zetu.

Mimi nadhani kwa kipindi chake, na nyie wasikilizaji wake hayo ndo maneno yenu mngependa/mnayopenda kuyasikia! Huyo dada anajua audience yake inataka nini na ndo anachowapatia. akiwa too casual, mtasema kipindi chake kina-bore. Achaeni unafiki wenu. Mbona watu wengi wanaitana maneno ya ajabu tu, in a positive way?!! utasikia 'KICHAA wangu nitoe na buku 5.. ..', 'MCHIZI yule ni noma kwa ....' etc.

Maneno kama hayo huwezi kuyasikia kwenye kipndi cha Je tutafika cha Makwaiya wa Kuhenga and the likes. Mi nadhani muanzisha thread ulitaka watu wamjadili Diva kama Diva, lakini sio kwa kutumia maneno hayo.

...give the + n - ..of the phrase "BAD ASS"...
 
...give the + n - ..of the phrase "BAD ASS"...

That player, Messi is a f&ck*ing badass.

Usitishike na hayo maeneo (badass, f&ck&*ing, freaking) = hii ni positive sentense, hapa tunamzungumzia Messi kama mchezaji mzuri saaana.

Yaani hilo neno (badass) linao-add strength, or emotional power katika sentense (linaifanya sentense kuwa: either positve kuwa positive zaidi, na kama ni negative sentensi kuwa negative zaidi).
 
....wewe lazima ni mwanafunzi wa kata.....
 
Hilo neno (He is a bad ass... = ni sifa tu (could be +ve or -ve), nadhani alikuwa anamanisha jamaa ni mkali saana katika Musik). Halina tatizo, inategemea na kitu gani ambacho alikuwa anakizungumza na kwa walengwa/wasikilizaji wa kipindi hicho. off-course hilo ni rude words huwezi kulitumia kwenye watoto na watu wenye heshima zetu.

Mimi nadhani kwa kipindi chake, na nyie wasikilizaji wake hayo ndo maneno yenu mngependa/mnayopenda kuyasikia! Huyo dada anajua audience yake inataka nini na ndo anachowapatia. akiwa too casual, mtasema kipindi chake kina-bore. Achaeni unafiki wenu. Mbona watu wengi wanaitana maneno ya ajabu tu, in a positive way?!! utasikia 'KICHAA wangu nitoe na buku 5.. ..', 'MCHIZI yule ni noma kwa ....' etc.

Maneno kama hayo huwezi kuyasikia kwenye kipndi cha Je tutafika cha Makwaiya wa Kuhenga and the likes. Mi nadhani muanzisha thread ulitaka watu wamjadili Diva kama Diva, lakini sio kwa kutumia maneno hayo.

aha nshakusoma ni kama kukusifia we mseng.e noma, we ni nyoko ass.hol
 
kipindi chake nilikua zaman nakipenda,wakati nikiwa sekondary,bt saiv ckcklz tena!
 
Huyu dada Diva producer wake inabidi afukuzwe kazi alishawahi kutamka live tena kipindi cha mchana alikua na mchomvu alisema. "Nick Minaj anajiita Barbie B!tch"
 
Yan wengiwao ma-radio pres vimishahara vyao vinaishia kwene starehe na mavaz! Wanapenda maisha ya kujiforge,ndo mana wanaropoka upumbavu tu,unaskiliza redio adi ujifiche wazaz waskuone!!!
 
he he he he he he huyu demu huwa anaiga kuongea yaani anataka asikike kama vile anajua sana ngeli alau kama vile katoka mtoni jana vile he he he he he kuna cku nilifungulia cloudz tv nikakuta anarusha live kipindi chake aliniboa na staili ya kuongea ile.....
 
Kwanza diva ni jina gani, huyu demu amekwama hana jipya, sentensi kama hiyo inatumika mkiwa mnaongea live hajui jinc ya kutumia maneno akiwa online,
 
huyu demu mshamba sana na huwa anapenda kuongea mambo ya kijinga muda mwingi,mambo ambayo hayaendan na maadili, kuna siku nilikuwa na wazazi wangu kwenye gari usiku tunarudi home mida ya saa nne na nusu usiku, nimefungulia clauds fm, mzee akaniambia hakuna steshen nyingine ya redio? Manake hadi aibu anaongea matusi halafu yeye anaona ujanja, kumbe ushamba tu.

Kwa hiyo wewe ulikuwa hausikii kwamba ni matusi mpaka mzee ndo akakushitua au ulikuwa umefungulia tu lakini hukuwa unasikiliza, na kama mzee hasingekushtua ungeendelea tu kusikiliza hayo matusi yake mbele ya wazazi wako?
 
kabarnaba kweli ni kabad ass katika kuimba ni ile kitu watu hawapendi kuisikia ndo inamuangusha!!!!!........APPEARANCE!!!!game ya bongo mauzo muhimu!
 
Back
Top Bottom