Elections 2010 Bariadi magharibi.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,196
113,481
Kulikoni huko Bariadi magharibi? Updates please....

Bariadi mashariki ni Cheyo country hiyo....haiendi kokote zaidi ya UDP.....
 
Wewe unatakiwa utafuta taarifa halafu sisi tujazilizie............Vipi wewe.kumbe unauliza maswali tu.............
 
Mimi hawa washosha ng'ombe walishanichosha Cheyo hafai maana ni CCM yule hana mageuzi yoyote na hilo Wilaya kama limesahaulika vile, huyu Chenge ni watu na Mtoto wa Shangazi na cheyo, Nakumbuka Cheyo mdogo alishinda lkn akamwachia mtoto wa Shangazi Chenge akapewa mahela huyo kakimbilia Kenye kununua mahindi wakati wana Bariadi maisha yao ya chini kuliko wanaTz wengine...Elimu kule inahitajika kwa sana tu...
 
Back
Top Bottom