Elections 2010 Baregu aliwaambia Tanzania haina wapigakura 19,600,000 wakabisha.

Tumejifunza nini kwenye uchaguzi wa 2010.
1. Je daftari la wapiga kura liko sahihi? Tusingoje mpaka uchaguzi ujao. Lifanyiwe uhakiki sasa.
2. Utangazaji ya matokeo ya wabunge na rais wa sasa unafaa? Tufanye nini kuboresha hili.
3. Vituo vya kupigia kura ? Je vituo hivi zilijulikana lini? Ni vizuri vikajulikana mapema (kama meizi mitatu) na uhakiki ya wapiga kura ufanyike wakati huo.
4. Utaratibu wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ujulikane mapema. Kama kuna software itakayotumika ijulikane mapema (kwa Vyama vyote) na mafunzo kwa watumiaje na pamoja kuwa na vifaa vizuri(specs).
5. Uwezo wa wafanyakazi wa NEC? Wanahuelewa wa system yao ya uchaguzi na mapungufu yake na exposure wa chaguzi nchi nyigine.
 
NEC is a big mess, a big shame, very partisan, incompetent and very backward. We don't want this very same NEC to conduct 2015 elections otherwise the country will be on fire! We saw what happened in Mwanza, Tandika, etc. Once bitten twice shy.
 
Mkurugenzi wa NEC Bw. Rajabu Kiravu alipoulizwa kuhusu hilo alijibu kuwa hajui ni kwanini watu wengi hawajapiga kura....Hii ni staili ile ile ya JK hata mie sijui kwanini watanzania ni masikini licha ya kujaliwa kila aina ya rasilimali.
 
hivi mnjua vijana wengi ni wa kupiga debe tu na makelele lakini hata vitambulisho vya kupigia kura hawana na mimi nashauri uchaguzi kwanini usiwekwe weekdays maana to be honest mimi hata kura sikupiga nilikua bwii usiku wa jumamosi.vijana wengi hizi issu za siasa wanazisikilizia hzi ktk social medias na vijiweni lakini hawajui lolote!halafu na lifestyle yetu unajuiandikisha kura jan tandale nov inakukuta uko mbagala ngumu sana.nimewauliza vijana wengi trust me karibu nusu naowajua hawajapiga kura na ni magraduate na wengine tayari wana practise professional zao,wana usafiri na kila mazingira ya kupiga kura.vijana wanatakiwa kuijua siasa ya nchi yao inaendaje mimi nimekua tu shabiki baada ya kuingia humu lakini siasa si maisha yangu kabisa longolongo nyongi si chadema.cuf wala ccm.

Nilitegemea watu kama hao wajue umuhimu wa kupiga kura...Wangeelewa kwamba siasa mara nyingi ndo inatengezeneza mustakabali wa hizo professional zao wasingelala siku muhimu kama hiyo...
 
Back
Top Bottom