Barclays wats up

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Miezi michache iliyo pita benki tajwa hapo juu wali introduce huduma ya SMS.
Kila mara utoapo pesa au kuweka ulikuwa unapta sms sekunde hiyo except kama unatumia visa card tofauti na benk yenyewe...

Kwa kipindi cha mwezi mmoja sasa sms zimekuwa zikija baada ya siku tatu after kuchukua pesa....utafikiri umetumia card ya barclays kwenye tawi la CRDB.

Hii ni worse kama huduma hii wameshidwa kui mantain basi waiache kabisa..najua tatizo laweza kuwa kwenye server yao...ndio maana hakuna responce ya haraka....

Anywone mwenye ideal kwanini tatizo hili litatokea?

Good day.
 
Back
Top Bottom