Barclays Bank (Tanzania) yafunga matawi 10 nchini

jamani namkumbuka mkurugenzi CO wa baclays aliwahi tamka kuwa anataka akiwa angani kwa ndege aone Tanzania yote inashaini kwa rangi ya blue bahari,yaani matawi yameenea kila kona.Yeye alidhani matawi mengi ndo jibu.

Tena wanaongoza kwa POS na Macontainer kibaao ...........This is Tanzania Mhe.CO this is not Europe!!!
 
Nimesikia Barclays wanafungua matawi zaidi tena Tanzania na wametangaza nafasi wanatafuta BRanch Managers , hii imekaaje.
 
hawa jamaa miaka michache iliyopita walitanuka kwa kasi na kufungua branches kila mahali, wakaanza mpaka mobile services, mnakumbuka? kumbe ilikuwa nguvu ya soda, au nao walikuwa wanaenda kisiasa? hapakuwa na upembuzi yakinifu (feasibility study) wa hayo matawi?
 
angedizzle Ndio Mwanzo wa kufilisika nini.sina uhakika ila nasikia enzi za Mwalimu Nyerere hii bank ilipigwa marufuku nchini.
 
Last edited by a moderator:
mbona MATAWI mliyo yafunga ni mengi sana ? Halafu hata mlipoamishia ni MBALI mno ! Kutoka TABORA mpaka MWANZA , kutoka keko mpaka PUGU ! Au ndio MNAONDOKA kinyemela ?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom