Ndugu zangu,kwanza nawasalimu na kuwapa pole za kujenga Taifa.
Ningependea kuwapa mkasa nilioupata jumamosi iliyopita katika ATM ya Barclays pale OHIO karibu na MOVE N PICK.
Nilifika majira ya saa 4:16asubuhi kutakakutoa fedha.Nilienda moja kwa moja kwenye ATM ya mwisho mkono wa kushoto kama un face hizo ATM.
Kama kawaida nikaingiza kadi na kutaka kutoa tsh 300,000.Mashine ikaandika itatoa ths 200,000 katika mfungu ya ths 5,000,ikawa hivyo.Kisha
nikaingiza tena kadi na ku_draw tshs 200,000 kwa mafungu hayo hayo ya ths 5,000.
Jumla nikawa na tsh 300,000 za mafungu ya tsh 5,000.
Nikaona ngoja niingie ndani nikabadili kwa ths 10,000 bills. Cha ajabu cashier alipoziingiza zile fedha kwenye machine yake akaniambia moja kati ya zile tsh 5000 ni feki. Nikahoji imekuaje iwe hivyo wakati ni ATM yao wenyewe ndo imenipatia? Akaniambia niende kwa SUPERVISOR kwa msaaada.
Nilipojieleza nikachukuliwa maelezo na kuambiwa nirudi jumatatu saa nane, niliporudi nikaambiwa Machine zao haziwezi toka hela Bandia ingawa wanaendelea kufanya uchunguzi nirudi leo jumatano saa tisa.
Sasa cha ajabu mimi nimeripoti kuwa hayo ndiyo yaliyotokea lakini wao wanakazania kuwa haliwezekani, wakati mimi ni shahidi kwa hili, ninachoogopa kama ukichukua hela nyingi kisha ikagundulika ni madudu je mimi kama mteja nianzie wapi kudai haki yangu?
MSAAADA TAFADHALI