Barchelor of Arts with Education(B.A.E.D)

Mtoa mada,,,hiyo kozi ulikua unaipenda???au ndo umeiomba baada ya kufeli????au unadhan ni rahis kwako????
Unajua mnapokua shule huwa mnashauriana mambo meengi,ila huwa mnapotoshana sana...bwana nakwambia ukweli wakat unabahatisha degree jaribu kuomba diploma ....uwezekano wa wewe kupata chuo ni mdaogo kama pinda kuhama ccm
 
Science: Cut-off point is 2.5
arts: Cutt-off point is 5
#via tcu guide book

angalia usije chezea pesa yako kwa kununua vocha ya ku apply kaka
 
Kaka uckatishwe tamaa digrii utaenda tu soma vizuri kitabu cha tcu,tena na matokeo ya mwaka huu dv 3 na dv 4 nying kuliko 1 na 2 alafu una principle mbili na si moja.We jaribu tu katika nane uwezi kosa vyote.
 
Mbona hapa jf raia wanafki xana tcu guide book inaxema minumum requirements za kujiunga na chuo ni two principals(EE)with 2.5 cut of points sasa nyie mnaosema hapati ndo mnapanga vyuo au acheni kujifanya much know nyie mafala kutukatisha tamaa vilaza 2 hamna jipya
 
sana sio xana, tu sio 2! Lugha za facebook ziache hukohuko afu kumbe ni form six leaver???
 
Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!!
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.S-S

kwa pointi hizo Chuo unapata(Apply St. John, SAUT, IFM, CBE, MuccoBs, ISW, Tumaini, Mwenge lkn pia UDSM na Mzumbe unaweza kupata kama Mzazi wako ameajiriwa hapo) ukishindwa apply Chuo cha Mahakama(IJA) Lushoto upige Diploma ya Sheria utapata ajira na baadae utajiendeleza kwenye Fani huyohuyo.
 
vyuo vyote vya saut mwisho ni 4.5 soma kitabu cha tcu ila tumaini,etu,kampala,bagamoyo wanachukua mpk 2.5.kua makini mkuu
 
Back
Top Bottom