Barchelor of Arts with Education(B.A.E.D)

Raphael9

Senior Member
Apr 24, 2012
145
44
Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!!
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.S-S
 
Kwa matokeo yako,nakushauri ukachukue Diploma..sidhani kama utapata admission ya University..kila la kheri!!
 
Lakini mbona ukiwa na plincple 2 na s imeandikwa chuo unapata na kuna coz zinazoitaji point kuanzia 3 na mimi hapo nina point 3.5
 
Chuo unapata dogo,apply saut,udom,tumaini,mwege,teku,muslimu unv nk.uckatishwe tamaa na mtu.
 
chuo utapata ila uwe tayari hata kujaza vyuo vyenye ada kubwa maana bodi ya mikopo wameweka fixed rates za ada kwa kozi za ualimu hivyo vyuo vyenye ada ndogo kama SAUT na UDOM competition itakuwa kubwa. Mfano SAUT Ada yao ni sh. 950,000 wakati bodi watamlipia mwanafunzi sh. 475,000 tu hivyo mwanafunzi atalazimika kutop up sh 475,000. Lakini kwa vyuo kama Tumaini, TEKU, Makumila, nk ambavyo ada zao zipo juu nadhani nafasi zitapatikana kirahisi. Mfano Tumain ada yao ni sh. 2,300,000 kwa kozi ya BAED na bodi ya mkopo italipa sh. 500,000 tu hivyo mwanafunzi atalazimika kutop up sh. 1,800,000 ambazo ni hela nyingi sana. Kwa mtu ambaye hana uwezo kwa vyovyote vile atakimbilia kujaza SAUT kuliko Tumain. Hivyo kama uwezo wako wa kifedha ni mzuri kuwa strategic kwa kuangalia vyuo ambavyo competition itakuwa ndogo
 
Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!!
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.S-S

apply utapata tu tena na mkopo juu, apply vyuo vya SAUT na hakika utapata tu.
 
wewe waanakudanganya point zako haziruhusu kusoma degree kama SAUT wanatoa diploma ya ualimu omba ila ushauri adika wizara ya elimu kuomba diploma point zako hazirusu usome degree
 
Apply utapata usikate tamaa Stella Maris Mtwara UNiversity college
www.stemmuco.ac.tz
 
kwa mujibu wa tcu sifa za mwisho kujiunga university ni point 2,kwa kuwa tcu ndio inayopanga wanafunzi karibu vyuo vyote kwa kuzingatia peformance ya mwaka husika nakushauri jaza kozi zaidi ya hiyo unayotaka kujaza. Mwaka jana tcu walihakikisha wanafunzi wote waliokuwa na sifa wamechaguliwa.Muhimu ni kuangalia ada ya kila kozi za vyuo husika
 
Back
Top Bottom