Barcelona wazidi kupanda juu kwenye ligi

reignwilliams

New Member
Sep 2, 2012
3
0
Tumeona watoto wa Catalunya(La Masia) wakipata ushindi wa goli moja dhidi ya Valencia kupitia Adriano kutoka
kwa pasi ya Messi katika uwanja wa Nou Camp kufanya Barcelona kuwa mbele kwa pointi 9. Hongera kwao
 
Back
Top Bottom