Barcelona vs Real Madrid

Real madrid hawana viuongo wa kuwawezesha kucheza pasi za hapa na pale Special one inabidi atumie mbinu za kiitaliano na mipira mrefu mirefu kipindi cha pili.
 
<p>
Real madrid hawana viuongo wa kuwawezesha kucheza pasi za hapa na pale Special one inabidi atumie mbinu za kiitaliano na mipira mrefu mirefu kipindi cha pili.
</p>
<p>&nbsp;</p>

Umenena kaka sawiaah!
 
simchezo ,dakika 45 zinaonekana kama dakika 20 tu.tusubiri kipindi cha pili sasa game safi sana.

Madrid wapate goli moja la haraka wakirudi hili tupate burudani zaidi.
 
Towards the end mechi ilianza kupooza. according to ss3 commentators possession ni barca 90% frankly ni unbelievable!
 
Huyu Ozil kwa nini hawezi kucheza dakika 90? Nilikuwa nategemea kumuona Gonzalo Higuian.
 
Back
Top Bottom