Barcelona Vs Real Madrid

Njoo tuangalie nyumbani, 2 friends are also comming,
I have beer and popcorns for everybody.

My pleasure dear thats why its called spectators sport..
A four people thing plus beer and popcorn i wont miss that for anything..Am switching lanes like crazy i'll be there just in time.Am coming home.
 
My pleasure dear thats why its called spectators sport..
A four people thing plus beer and popcorn i wont miss that for anything..Am switching lanes like crazy i'll be there just in time.Am coming home.

Driving to kibangu and you can change lanes.... Like never before. You must be a super dreamer!
 
Mungu ni wa watu wote na viumbe vyote vilivyomo Duniani, usitake kupotosha watu.:mad2: Na Mungu yupo Kila siku 24/7 sio leo tu

vipi kaka mbona povu linakutoka sana, hapa tu kwenye Sports na burudani, au umepigwa kibuti nn?
Mihasira unataka kui,alizia hapa
 
...Inaelekea mwaka huu utakuwa ni wa Real Madrid katika ubingwa wa Spain. Baada ya kuwa nyuma labda BARCA watacharuka kutafuta goli la kusawazisha na labda kuongeza mengine, Madrid nao wasifanye makosa ya kulinda kagoli kao waendelee kushambulia kwa nguvu zote wanaweza kuziona tena nyavu za BARCA.
 
madrid wana nafasi ya kushinda mabao mengi kwa counter attack lkn inaonekana hawajiamini kabisa wanapokaribia goli la barca.ila nadhani chelsea wamemfundisha kitu mourinho na ndo maana barca wanashindwa kupata bao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom