barcelona 3,madrid 1!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,306
13,267
jamani wakati mwingine tuwetunaweka ushabiki we2u pembeni,hii timu ya barca ni noma!kwani wengi walijua leo madrid atafanya mauaji ya haraiki!lakini mambo yamekwenda kinyume kabisa,na hasa huyu ronaldo ndio wakati mwingine anachangia,kwani huwa anakamia sana kama leo amekosa magoli 3 ya wazi kabisa! Mourino afanyekazi sana hadi apate dawa ya hawa jamaa,utadhani mazombi!na bado mesiah atazidi kuwa mesiah,leo ame assist magori 2,ye ronaldo ni papala tu kwenda mbele.
 
Nadhani inatakiwa isomeke
Real Madrid CF 1-3 FC Barçelona
halafu hapa sio mahala pake, jukwaa la michezo lipo.
 
Hawa Barca kiukweli siwapendi ila uwezo wao nautambua. Nadhani watachuja wakishazeeka, ila kwa sasa bado sana.
 
Mimi ni Madrid fan na kiukweli tulifunikwa mbaya ila kama Barcelona ni ma-zombie na Getafe ni nani?
 
Nimeangalia mechi zao zote, niligundua kitu kimoja, kiukweli Madrid haina hata uwezo wa kumfunga Barca hata siku moja, labda Barca ianze kubomoka mdogo mdogo hapo pengine Madrid wanaweza kutawala, Barca wachezaji ni wale wale usitegemee kuwashinda hata siku moja sahau hilo.
 
mourinho ni mhuni tu.,hawawezi kabisa barca wale jamaa walikuwa wanapiga pasi wachezaji wote wa madrid kila wakifata mpira unapita sentimeta chache mbele yake na hakuna wanachofanya maana pasi inakuwa imepimwa..mtu anyesema xavi ndio roho ya barca mi nakataa,messi ndio injini ingawaje wachezaji wote wanapiga pasi za ukweli,bila kumsahau kocha wao..
mzimu wa makelele bado unawaandama
 
Ronaldo ndio aliwauwa Madrid ni mbinafsi mno alitaka afunge ili apate sifa wakati mtaalam Messi alikuwa anatoa pasi kwa wenzie ili wafunge Ronaldo anajiangalie yeye zaidi na si timu yake hii ndio tofauti ya messi na Ronaldo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom