Barcaphobiasis is killing me!!!!!

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
:A S-rose:

Wandugu toka tarehe 28/05 nimekuwa hoi bin taaban kwa ugonjwa huu mpya wa Barcaphobiasis

Nimejaribu kila aina ya therapy bila mafanikio, nikasema nijaribu jivua gamba nikakuta patupu....

Nisaidieni jamani nini nifanye.........
.
 
pole sana, ni wengi wanaoumwa ugonjwa huo na kwa tetesi nilizozipata ni kwamba tiba yake bado haijapatikana. Kuna daktari alisema baada ya miaka mitatu anaweza kupata dawa yake na kustaafu udaktari. Vp ugonjwa wa manphobiasis ulipatiwa kinga yake lini? Watu hawaugui kabisa siku hizi.
 
Acha tu mjomba huku kupenda matimu nako kuna mambo yake......huyu doctor bora apatikane maana hiki kiugonjwa kimekuwa kikali sana hasa kwa wapenda soka
 
manphobiasis ilipata kinga na tiba yake tarehe 28 May 2011

Hhaaaaa, dah, mjomba ukweli ni kuwa kwa upande wa Uingereza wameshindwa kabisa kudhibiti ugonjwa huu....yaani umewakamata wanabaki kuweweseka tu.........wengine wanajaribu kujiusogeza karibu na Barca ili angalau ikikontro Manuphobiasis basi wapate ka-ahueni ila wakirudi kwao hali ni ile ile.....Man U bana.......
 
Back
Top Bottom