Baraza nafasi za masomo vyuo nya ualimu mpaka lini?

Bagrameshi

Senior Member
Jun 22, 2012
131
43
Mi nashangaa hawa jamaa walivyokaa kimya kuhusu nafasi za masomo vyuo vya ualimu, siku wakitoa nafasi hizo mara watu wakalipoti baada ya siku mbili. wengine waliokosa nafasi wanaanza kusota kutafuta vyuo vya binafsi.kama vipi watoe majina hayo watu wajue wanafanya nini. siyo ishu kabisa.
 
kwa ushenzi zaidi wanatoa ratiba ya vipindi vya redio kwa masomo ya shule ya msingi, du huu ni ufyongo mzaz tembelea tovuti yao uone kilichowekwa leo saa kumi hii
 
kwa ushenzi zaidi wanatoa ratiba ya vipindi vya redio kwa masomo ya shule ya msingi, du huu ni ufyongo mzaz tembelea tovuti yao uone kilichowekwa leo saa kumi hii

nimepita nikaona huo upuuzi. ila kiukweli kama wanapita hapa jukwaani watueleze kilichowachelewesha.
 
Wakuu msiwe na wacwac taarifa nilizopata ni kwamba majina yamechelewa kutokana na udanganyifu uliofanyika hivyo wakaanza upya na kufikia Jana wamekamilisha hivyo kati ya ucku wa kuamkia j mosi mbaka j4 ishu itakuwa realized
 
Udanganyifu upi tena????
 
Back
Top Bottom