ili kuwamaliza kabisa kwenye ulingo wa siasa ni kuwapa cdm nafasi kwenye baraza la mawaziri, wakikataa tutajua kuwa hawaitakii mema Tanzania
- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!
William.
Hamad rashid cheyo,kafulila na mrema wanapewa uwaziri
IFIKE MAHALI TUWE NA HILI KUWA UWAZIRI SI KAZI YA KUPEWA NA RAIS MTU AGOMBEE BUNGENI AWEKWE KWENYE KIYI MOTO ATUELEZE NI KWA NINI ANAOUMBA KUWA WAZIRI FULANI WAGOMBEE WATUELEZE MIKAKATI YAO YA KUONGOZA HIZO WIZARA, LAKINI HILI LA KATIBA LA KUMFANYA RAIS ATEUE MARAFIKI NA NDUGU ZAKE HALITAIFIKISHA NCHI HII PPOTE MAANA WATEULIWA WENGI NI WATU WENYE NJAA KALI YA KUTAKA KUJITAJIRISHA NA SIO KUWANEMESHA WADANGANYIKA!!!
KAMA TUTAENDELEA NA MTINDO HUU WA RAIS KUTEUA BASI, iSIWE DHAMBI MTU YEYEOTE ANAETAKA KUTEULIWA KUWA WAZIRI ANAWEZA KUMPIGIA SIMU AU KUMUOMBA RAIS AMTEUE ILI AONGOZE WIZARA FULANI NA AMWAMBIE KWA NINI ANATAKA IWE HIVYO,
PIA KWA KUWA KUNA WABUNGE WENGINE WANAINGIA BUMGENI KWA AJALI MFANO HAMIS KIGWAGALA WA NZEGA, BASI SI VIZURI MBUNGE KUWA WAZIRI MAANA INAPOTEZA MAANA HALISI YA BUNGE KAMA MHIMILI WA KUSIMAMIA SERIKALI NA HAS PALE UNAPOKUWA NA WABUNGE WENGI WA CCM AMBAO NI WAJINGA ZAIDI(ignorant and unconscious wa CIVICS) KULIKO KIGWAGALA. YEYE AMEJIWEKA WAZI LAKINI WENGINE NI ZAIDI YAKE
Jingalao nakupa sifa kuanzia leo wewe jinga letu
Hujanielewa hata chembe. Napinga kwa nguvu zangu zote kwa Chadema kuingia kwenye mseto na serikali ya kihuni ya Kikwete. Niseme mara ngapi? Kiu sana ya madaraka hapo iko wapi? Nisome taratibu.
sasa wewe w j Malecela unafikiri mama yako atachaguliwa kuwa waziri? Mmezoea vyeo sana na wizi za Mali ya umma
Kwa nini Mkuu hujadili hoja za William badala yake unamjadili yeye na wazazi wake? Kwenye siasa hiyo ni dhambi, lakini kule Chit Chat unaweza kufanya hivyo (ikiwa wenyewe watalikubali).
Samahani Mkuu lakini nadhani huo si ustaarabu, hasa kwa JF na kwa Great Thinkers.
"Let's dicuss motions not emotions"
Mbona Obama alimbakiza secretary wa ulinzi wa kipindi cha Bush bwn Gates? Wht kind of winner takes all is William talking about? Si nasikia ulikuwa unakaa US, umesahau?
Ila na wewe William unaongea kwa authority sana, au tayari una madaraka serikalini? Eti impossible! Hilo linawezekana wenyewe akina JK na wenzake wakitaka litakuwa.- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!
William.
Ahaaaa!! kumbe!! Ndio maana mnawachinja kama kuku. Mnaipeleka nchi pabaya, siasa hakutakiwa kuwa uadui kiasi hiki mlichoanzisha. Sasa nimeelewa ukweli.- Sio lazima tuige kila kitu cha US na infact wao siasa sio uadui kama sisi, sasa ukiingia mseto tu maana yake sasa mnakuwa CUF, yaani dead! Tunahitaji upinzani ili kurekebisha mambo kama ilivyo sasa!William.