Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 624
mikaka mingine sijui vipi.yaani kaharibu hali ya hewa ile mbaya.Kwa nini Mkuu hujadili hoja za William badala yake unamjadili yeye na wazazi wake? Kwenye siasa hiyo ni dhambi, lakini kule Chit Chat unaweza kufanya hivyo (ikiwa wenyewe watalikubali).
Samahani Mkuu lakini nadhani huo si ustaarabu, hasa kwa JF na kwa Great Thinkers.
"Let's dicuss motions not emotions"