Baraza mseto la mawaziri

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
wale wataalamu wa sheria na katiba tuelezeni kama jambo hili linakubalika.kwa hali ninavyoiona hii ndio silaha ya mwisho ya kuepukana na hizi ajali za kisiasa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Hapo atafutiwa mtu nafasi siyo? Haya tunakujibu kuwa inawezekana mlete huyo unayetaka kutoka CHADEMA aungane na CCM tuone.
 
Haiwezekana sana kwani CUF si ina wabunge kama CCM kwanini wasipewe nafasi kama wanaweza they are part of CCM anyway
cuf wameshatulizwa kwa hiyo target ni chadema.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Chadema ni chama makini, mtego huo wa kijinga hauwezi kuwanasa. Na hata kama wakichaguliwa naamini hawakubali uteuzi huo wa kinafiki wenye lengo la kuua harakati.
 
i fully support this....serikali itachangamka and i can guarantee you uzembe tunaouona sasa hivi hautakuwepo
 
Mimi nadhani tumwache Kikwete azame na meli yake. Nitasikitika na kushangaa kama Chadema watakubali kuingia kwenye serikali inayoongozwa na huyu jamaa.
 
Mimi nadhani tumwache Kikwete azame na meli yake. Nitasikitika na kushangaa kama Chadema watakubali kuingia kwenye serikali inayoongozwa na huyu jamaa.

- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!

William.
 
Kaka umerudi USA au ndo unakesha katika mkakati wa kumtoa kibajaj? Vipi siasa za bongo?sema na Mzee wako amuombe JK akuteue kamanda maana duh naskia EALA hukuwa hata na mia ya Kuhonga ukaambulia Kura za CHADEMA lini unarudi huku?

Serkali ya mseto bila kuwa na formula ya mgawanyo wa madaraka ni ngumu sana. Chini ya katiba ya sasa, serikali ya mseto ama itaua upinzani bungeni au itatumika kuhalalisha ubovu wa serikali ya CCM na hivyo mambo yakaharibika zaidi.
 
- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!

William.
Kwani Zanzibar ilikuwaje? Kwa magamba hakuna lisilowezekana. lakini nisingependa kuiona Chadema ikijichafua kwa kuingia katika meli inayozama.
 
Kaka umerudi USA au ndo unakesha katika mkakati wa kumtoa kibajaj? Vipi siasa za bongo?sema na Mzee wako amuombe JK akuteue kamanda maana duh naskia EALA hukuwa hata na mia ya Kuhonga ukaambulia Kura za CHADEMA lini unarudi huku?

- Mkuu ungenifungulia thread yangu maana hii inahusu Serikali ya Mseto, kila kitu na wakati na mahali pake, Great thinkers wanatakiwa kuwa mbele kwenye kujua hilo au? ha! ha! ha!

- Anyways, saa hizi nipo huku Msondo Ngoma, TCC Club, karibu sana! ha! ha! ha!

William.
 
Kwani Zanzibar ilikuwaje? Kwa magamba hakuna lisilowezekana. lakini nisingependa kuiona Chadema ikijichafua kwa kuingia katika meli inayozama.

- Mbona mna kiu sana ya madaraka mpaka mko radhi kuingia mseto, si msubiri tu zamu ikifika wananchi watawachagua, mntaka kuua upinzani sasa mkishakuwa kama CUF mnakuwa sio Upinzani tena ati!, MSUBIRI TU HAMASISHENI WANANCHI KUNA SIKU ITAFIKA ILA KWA SASA BADO!

William.
 
- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!

William.

Ray LaHood ni Republican na sasa ndiye Secretary of Transportation...kwenye utawala wa Barack Obama (Democrat)

Norman Mineta ni Democrat na alikuwa Secretary of Transportation kwenye baraza la mawaziri kipindi cha utawala wa Raisi George W. Bush (Republican) kuanzia 2001 hadi 2006...

William Cohen ni Republican na alikuwa Secretary of Defense kwenye kipindi cha utawala wa Raisi Bill Clinton (Democrat) kuanzia mwaka 1997 hadi 2001...
 
Ray LaHood ni Republican na sasa ndiye Secretary of Transportation...

Norman Mineta ni Democrat na alikuwa Secretary of Transportation kwenye baraza la mawaziri kipindi cha utawala wa Raisi George W. Bush kuanzia 2001 hadi 2006...

William Cohen ni Republican na alikuwa Secretary of Defense kwenye kipindi cha utawala wa Raisi Bill Clinton kuanzia mwaka 1997 hadi 2001...

- Sio lazima tuige kila kitu cha US na infact wao siasa sio uadui kama sisi, sasa ukiingia mseto tu maana yake sasa mnakuwa CUF, yaani dead! Tunahitaji upinzani ili kurekebisha mambo kama ilivyo sasa!

William.
 
Back
Top Bottom