Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Kufuatia hoja aliyoiwasilisha Naibu Katibu mkuu wa CUF Ismail Jussa juu ya Serikali ya Muungano kupeleka maombi UN kuomba kuongezwa kilomita 200 kutoka ukanda wa bahari ya Tanzania. Wajumbe wamtaka Shamhuna ajiuzulu kwa sababu wanadai amekula dili na wabara. Baadhi wameenda mbali zaidi kupendekeza katiba mpya irejeshi nafasi ya rais wa Zanzibar kama makamu wa rais wa muungano ili asimamie maslahi ya zanzibar.Ona mwenyewe Zanzibar Legislators Reject Tanzania UN Application for Extended Continental Shelf [Part 2 of 2].mp4 - YouTube