Baraza la Vijana CHADEMA latangaza Uchaguzi wake wa Marudio

ujajibu hoja, kwanza nani kakuambia mimi mwanaume? ni ignore kesho mkishika nchi yatokee kama ya kenya?

ona tofauti yako wewe na SERA YA MAJIMBO hapo juu, hapa ni kujibu hoja au kukaa kimya. ulichoandika hapa hakiondoi ukweli kuwa uchanguzi wa mwenyekiti hamkufanya na hili linawadisqualify kuwa nyie ni chama cha demokarsia. ndio tumeuliza kwa nini msimteue tu huyo mwenyekiti wa vijana tuwaze uchaguzi mkuu?

you know what, mimi kuandika hapa hakuipunguzii chadema chochote , wala member 10000 wa JF wote wakipiga kura ni negligible comparing na milioni 40 huko.This challenge meant to make you improve and see reality.

yaliyotokea humo ndio mtaji wa CCM kupigiwa kura! sasa wewe gombana na watu humu ukose usingizi,

Anza kwanza kuimprove wewe and then sisi tutafuata!TOA BORITI NDANI YA JICHO LAKO NDIPO UTOE KIBANZI CHA CHADEMA..
 
ona tofauti yako wewe na SERA YA MAJIMBO hapo juu, hapa ni kujibu hoja au kukaa kimya. ulichoandika hapa hakiondoi ukweli kuwa uchanguzi wa mwenyekiti hamkufanya na hili linawadisqualify kuwa nyie ni chama cha demokarsia. ndio tumeuliza kwa nini msimteue tu huyo mwenyekiti wa vijana tuwaze uchaguzi mkuu?

you know what, mimi kuandika hapa hakuipunguzii chadema chochote , wala member 10000 wa JF wote wakipiga kura ni negligible comparing na milioni 40 huko.This challenge meant to make you improve and see reality.

Wewe kada Waberoya nilikuuliza uniambie ni lini uchaguzi wa mwenyekiti wenu wa CCM ulifanyika na aligombea na nani na mwaka gani akashinda kwa kura ngapi hujajibu so give us and Chadema a break unless you make a reply on the question

and pls dont try to ignore these 1000 JF members they might come with a constructive motion that you cant imagine nafikiri theory ya tree diagram unaijua vizuri inaanza na a single point na ku multiply ndiyo maana hata wewe kutwa nzima unashinda hapa JF
 
Unaitetea CHADEMA kwa kufanya utumbo kama wa CCM, sasa utategemea mabadiliko gani? Kama wanapeana vyeo kama CCM utawala wao utakuwa vipi tofauti na wa mafisadi wenzao wa CCM?
 
Back
Top Bottom