wabanmtata
Member
- Feb 8, 2012
- 19
- 2
Kweli si somo la maarifa ya uislamu pekee ambalo limechakachuliwa bali masomo yote kwa vijana wa kiislamu huhujimiwa kila mwaka.Naona wale ambao hubeza hii hoja wote wamenywea.Na bado,tunaendelea kukusanya ushahidi kuonyesha jinsi ambavyo NECTA hutoa mitihani kabla kwa shule za kigalatia na kwa kuanzia tutaanza na St Francis Mbeya.Muwe na subra soon ukweli utakuwa wazi.