Baraza la Mitihani SAFI: TUME

Las Mas Bobos

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
991
326
Hatimaye ile tume ya watu 9 iliyoundwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuchunguza malalamiko ya usahihishaji wa mitihani ya Islamic Knowledge imekabidhi taarifa yake leo.

Akizungumza juu ya ripoti ya tume hiyo, naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo amesema, tume imejiridhisha ya kuwa kukosewa kwa ujumlishaji wa matokeo ya somo la Islamic Knowledge hakukutokana na kukosa sifa kwa wasahihishaji bali ni mabadiliko katika mfumo wa ukokotoaji wa kompyuta kutoka ule wa kutumia wastani wa paper 3 hadi 2 na hivyo hakuna njama wala hujuma za makusudi zilizofanywa kwa upande wa usahihishaji.

Tume ilijumuisha wajumbe kutoka Baraza la Mitihani, Usalama wa Taifa, Jumuiya ya ...Uislamu, Chuo kikuu cha DSM n.k

Habari zaidi: ITV habari

My take: Angalau sasa tumepata ukweli na ku- clear doubts. Otherwise kila kitu kingekuwa NDALICHAKO NDALICHAKO
 
Back
Top Bottom