Baraza la mawaziri zanzibar ni kubwa mno

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Jamani zanzibar ina watu mil 1.xx inakuwaje baraza la mawaziri linakuwa kubw sana.
Kweli tunataka maendeleo au kupeana ajira tu?? CUF kwa nini msingekataa, Elimu na afya zanzibar bado sana. JAMANI TUNAELEKEA KUPEANA KAZI TU??
 
Je, baraza la wawakilishi linaundwa na wajumbe wangapi?Kama kuna majimbo hamsini huko Zenji na kuna mawaziri 25, si baraza zima linakuwa la mawaziri? Naomba kukosolewa
 
Back
Top Bottom