Baraza la Mawaziri wote Wajiuzulu

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Jaman kutoka na uzalilishaji wa Boss wao anapowatembelea maeneo ya kazi inatia huruma. Magufuli na wengine walio tolewa kafala sijui wataanzia wapi? Jk uliwachagua ili uwazalilishe? Hakuna ki2 kinauma kama hiki. Ombi langu.! NAOMBA MAWAZIRI WOTE MTANGAZE KUACHIA NGAZI ili ateuwe wengine 'wachapakazi kama yeye'. Jaman nimejiunga Tanu toka 1966 sawa na FTS
 
ukiandika thread ya kipuuzi kama hii watu wataishia kukudharau tu na kutokuchangia.
badilika
 
nimekubali kweli waliowengi wanatumiwa,,
RAIS akifanya kazi yake mnasema,
akiwa kimya mnasema.
ACHENI KUTUMIWA KAMA KONDOM.
 
Back
Top Bottom