Baraza la Mawaziri, sura mpya, uchakachuaji unaendelea

Majina yote hayo yametuchosha masikioni mwetu. Nahisi hata kichefuchefu kuona majina kama ya akina nchimbi, membe, ngereja, n.k. Hivi nchi hii imefika mahali hata watu kama akina masele wa shy kufikiriwa kuwa waziri? Ama kweli tumefikia mahali pabaya.
 
sisim hakuna viongozi kunatabaka la mafisadi na vibarua wao.....?
vijana wengi wanaopewa uongozi ssm ni vibarua au tuseme bendera za mafisadi kijana ukionyesha
msimamo 2 uongozi ndani ya sisim upati...ukiwa bendera vyeo vyote utapewa hata kama
uwezo huna otherwise uwe mtoto wa Makamba, au Mwinyi.....
hakuna kijana mwenye uwezo wakuchapa kazi ndani ya sisim akijaribu tu itakula kwake...
mfano..nape, chifupa...
 
Majina yote hayo yametuchosha masikioni mwetu. Nahisi hata kichefuchefu kuona majina kama ya akina nchimbi, membe, ngereja, n.k. Hivi nchi hii imefika mahali hata watu kama akina masele wa shy kufikiriwa kuwa waziri? Ama kweli tumefikia mahali pabaya.

Kwa mawazo yangu safari hii ujumbe umefika. Kilichotokea hakuna mtanzania ageweza kutabiri. Nadhani umeshuhudia jinsi hata wanaojifanya watabiri walivyobakia mdomo wazi.. At least kuna matumaini. Tuombe Mungu mawazo ya watanzania yaendelee kubadilika kwa kasi zaidi.
Mungu ibariki Tanzania
 
Mie ningependekeza Sitta na Mwakyembe wasiingizwe ktk baraza maana watashindwa kuwasilisha hoja kali kali bingeni. Hao ni wapiganaji wa ufisadi bora wakaachwa ili wafyatue yale makombora ya scad kuangamiza mafisadi.
 
Majina yote hayo yametuchosha masikioni mwetu. Nahisi hata kichefuchefu kuona majina kama ya akina nchimbi, membe, ngereja, n.k. Hivi nchi hii imefika mahali hata watu kama akina masele wa shy kufikiriwa kuwa waziri? Ama kweli tumefikia mahali pabaya.
Hata mimi kumsikia Masele naona jk kama anachemka maana dogo bado sana unless ana agenda yake au amechukua ushauri wa Riz-1
 
Ngoja tuone atawateua wakina nani kwa sababu hili ni muhimu katika kutibu vidonda ndani ya ccm.
 
25 watajwa Baraza la Mawaziri Send to a friend Saturday, 20 November 2010 20:46 0diggsdigg

Sadick Mtulya
Chanzo hicho kimemtaja wabunge wanataria kuwmeo kwenye serikali mpya ya Rais Kikwete na majimbo wanayotoka katika mabano kuwa ni Samuel Sitta(Urambo Mashariki) ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dk Harrison Mwakyembe (Kyela), Anne Kilango (Same Mashariki), Januari Makamba (Bumbuli) ambaye alikuwa Msaidizi wa Rais Ikulu katika awamu ya kwanza ya utawala wa Rais Kikwete.

Wengine ni Bernard Membe (Mtama) ambaye katika serikali iliyopita alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Kimataifa na Emmanuel Nchimbi (Songea Mjini) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Mawaziri wengine waliokua katika Serikali iliyopita wanaotajwa kurejeshwa katika kipindi hiki cha mwisho cha utawala wa Kikwete ni Ezikeil Maige (Msalala) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Wiliam Ngeleja (Sengerema) aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini na Adamu Malima (Mkuranga) aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati na madini.

Chanzo chetu kimetajwa pia Celina Kombani (Ulanga Mashariki) ambaye alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Profesa Juma Kapuya (Urambo Magharibi), aliyekuwa Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Christopher Chiza (Buyungu) ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.

source :mwananchi

Huyu bwana Chiza nakumbuka alikuwa naibu waziri wa maji na umwagiliaji. Kilimo, Chakula na Ushirika alikuwepo Dr. Mathayo David Mathayo.

Sidhani kama Sitta au Mwakyembe wanaweza wakapewa uwaziri. Na hata akipewa atapewa wizara ya habari au ya sera na masuala ya bunge ambazo mara nyingi huwa ni nafasi ya kumuua mtu kisiasa kama hayuko makini na hayuko self determined.

Inaonyesha kama ameamua kuchukua mtu mmoja kila mkoa, Mbona sita na Kapuya wote wanatokea wilaya moja? Ina maana wabunge wengine wanaotoka Tabora ni useless?

Ni kweli anaweza akamwacha Mkulo?

Huyu jamaa wa shinyanga si ndo walichakachua? Hakuna uwezekano wa kumfikisha mahakamani kupinga matokeo ya kura. Nahisi CHADEMA watakuwa wamepinga matokeo ya uchaguzi ulomweka madarakani. Au anampa nafasi ya kupata mtaji wa kuendesha kesi.
 
Mimi huwa najiuliza swali moja muhimu: Kwa nini wataalamu wa Tanzania wakiwa nchi za nje wanakuwa rated best, lkn wataalam wale wale wakiwa hapa nyumbani tunalalamikia viwango vya utendaji wao?????????? Jibu ni simple: mifumo na sera za huamn resource utilization and management- hii ni pamoja na kwa nini wataalam adimu sasa wanakimbilia kwenye siasa???????????
Sera na ilani za sisiemu hazina vision ya jamii ya Tanzani ya sasa na foreseeable future- ndiyo maana vijana wamekimbilia CDM kwenye sera nzuri aliyosifia Mwl Nyerere wakati wa uhai wake wakati vyama vingi vinaanza!!!!!!!!!!!!!!! JK na sisiemu yake for the past 50 yrs na for the next 50 yrs ni yale yale!!!!!!!!!!!.Wakati wa kampeni za mwezi wa 10 kabla ya uchaguzi tulipata nafasi ya kusikia na kupima sera za CDM, sisiemu na kafu na kupata hisia kwamba kwa kuwa sisiemu na serikali yake tangu 2005 na sasa baada ya uchaguzi inatawaliwa na falsafa ya ufisadi-key players wakiwa : JK, EL, RA, AC, AK, YM, KNMW, wananchi wasitegemee anything better!!!!!!!!!!:Hotuba ya JK bungeni ni ushahidi- comletely nothing to align jamii aspiration for better life under sisiemu rule; Vision ya hawa jamaa is purely for urais 2015, siyo mageuzi ya sera za kuondoa katiba mbovu, tume chafu, na sheria zilizopitwa na wakati ili kujenga jamii mpya inayolenga kuondoa matatizo ya msingi kuondoa umasikini na kujenga nchi ya karne ya sasa!!!!!!!!!!!!!! Top priority ya mafisadi ni looting!!!!!!!!!!!!!!! na kupigana kuendeleza utawala aina hiyo karne nyingi zijazo:::::::::::::::::::::
Kwa sababu hizi na nyingine nyingi mimi naona haijalishi JK ameweka mawaziri wazuri kiasi gani kuitendaji!!!!!!!!!!!! Sera ya sisiemu haimtaki mtu kama mareh E. Sokoine, Dr PHD, na viongozi wa aina yake wanaoweka Tz at heart-watawazuia looters kutimiza malengo yao!!!!!!!!!!!! Subirini hiyo list ya JK mtaona imesheni maswahiba, wakwe, wadini, fadhila, nk!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM ina kila dalili ya kifo. Unajua mgonjwa mwingine anaweza kufika hospitalini akiwa na tatizo moja, lakini kabla hilo halijatibiwa utasikia lingine limejitokeza hatimaye moyo na figo vitaacha kufanya kazi, hatimaye anakufa. CCM sasa wana matatizo mangapi ya kutatua? wana mambo mengi ya kuzingatia kwamba kutoka kila kundi litaridhika vipi na uteuzi wa JK. Hayo yote ni mzigo na ni matatizo. Kuna masuala kama: wanamtandao, muafaka wao na CUF, wanafamilia, marafiki, wafadhili wa Chama nk. kwa mtindo huu baraza la mawaziri kama linatakiwa kuyazingatia hayo je litakuwa la namna gani?
 
baraza l mawaziri bado halijatangazwa ndugu zangu wana j.f kazi ya utabiri mwachieni shehe yahya na kazi ya udaku mwachieni shigongo,hao mwananchi nao tofauti yao na ijumaa ni rangi tu.
 
Napingana na Mtazamo wa mwanakijiji

Its time waachie hizo kazi, zimeshawashinda kwa miongo kibao. Tena kwa kutoa mfano, napendekeza aanze Dr Slaa ambaye amekua katibu wa CHADEMA karibia miaka 200 iliyopita. Kila siku ubabe na kufukuza vijana wanaoleta mitazamo mipya au wanaopingana nae.

Umeanza vizuri nikafikiri kuwa una hoja yenye nguvu: Umemaliza kwa akuingiza mambo ambayo hayakuwa kwenye uzi (angalia kwenye red). Nafikiri hiyo ni too rude on Slaa and CHADEMA. Usingefika huko kama ungejadili hoja! Mimi namuuunga mkono mwana kijiji!
 
hakuna haja ya kumlaumu rais... yeye ni kama team manager na anapanga timu kutokana na wachezaji walio fit

kwa CCM hao ndio wako fit!!! Kuna yoyote anaweza kunipa list mbadala kutoka timu ya wabunge wa CCM

Kwa hapa JF, hata akimchagua yesu, mtume, watakatifu nk bado tutatoa kasoro tu....

lets wait and see how things turn out ila sina hata lepe la tumaini kutoka kwa JK kwani his scope ahs always been very narrow
 
Hivi Prof. Kapuya bado yupo kwenye siasa za nchi hii...! I believe one of he most unproductive Minister the Government has ever had ni Prof. Kapuya...!

By the way bado mpaka sasa sijaona maana na faida ya kuwa na Manaibu Mawaziri wakati kisheria, manaibu Mawaziri huwa hawaingii kwenye vikao vya Baraza la Mawaziri wala huwa hawamkaimu Waziri kwenye mambo ya utelekelezaji wa maamuzi ya Wizara (Kwa mfano, Naibu Waziri huwa hawezi kusaini document kwa niaba ya Waziri, pia endapo Waziri wa wizara anakuwa hayupo anayemkaimu sio Naibu Waziri bali huwa ni Waziri wa Wizara nyingine...!)

Kazi kubwa ya Manaibu Mawaziri naona huwa ni kujibu maswali bungeni zaidi na sio katika utendaji....! Watendaji katika Wizara huwa ni Waziri na Makatibu wakuu...!
 
Namuomba Mungu amsaidie JK aiwarudishe Kapuya, Kawambwa, Nagu, Malima, Mwanyusa, Margaret Sitta na sofia simba
 
Back
Top Bottom