TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
Nasoma gazeti la guardian tarhere 25 November, limeandikwa "Here's teh Cabinet... kuna faces kama akina Goodluck Ole Medeye, Lwenge Gerson, Samia Suluhu, Mwakyembe, Nyalandu, Mulugo, Pereira Silima, Ummy Mwalimu, Kitwanga nk.
Chini unaona maneno "JK hailed for keeping word on who to pick" na mambo kama hayo
Baraza ni kubwa na naomba niseme kwamba so far naona akina Mama Tibaijuka ameenda safi (ingawa amekua kimya sijui ndo kamalizwa au akina tibaigana wamekaba koo)
Mwakyembe naona kama simuelewi, sijui ndio desk limejaa pendings au ameamua kujificha dowans iishe
Mfutakamba: sioni kitu labda ni wale wanaijificha kwenye mafaili'
Samia, Ummy, Vuai, Medeye, G. Teu, Gerson, Silima, Nangolo, Kitwanga, naona hamna kitu
Kumbukeni waziri anapata nafasi kwa kuwa mwanasiasa, hivyo basi pamoja na kazi za mafaili, mnalazimika kutumia utashi wenu wa kisiasa kujisemea mnayofanya na si kumuachia pinda au JK kuwasemea....
Nafurahi kusema kwamba bado we may have only ten ministries and perform better than hili cabinet la watu wanaokaa kwenye magari ya serikali na kuvimba mashavu
Kitwanga swahiba.... umeniangusha tayari
Meddeye.... ziiiiii
Chiza---- hivi we waziri wa wizara gani?
Ngeleja... how do you feel when you wake up, shower say bye to your lovely wife while you know that you are useless and we are heading to the dark era? cant you do your family a favor? practice law badala ya siasa?
Gerson, ulipangiwa wizara gani vile?
JK piga panga mawaziri to 50%