Baraza la mawaziri la dharula usiku huu

TISS mmefungiwa milango msijue kinachoendelea huko? Mbona no updates!
 
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?

Vipi Je kutakuwa na Kikao cha Bunge cha Dhalura au Kanuni haziwaruhusu?
 
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?

Yupo mbali sana, hufahamu anapandisha mlima Kilimanjaro? Karibia anafika kileleni sasa.
 
Unaweza ku prove kama rais hakuchaguliwa na sisi ?

Kumbe Manumba ana wenzake akina wewe ambaye unaambiwa ukweli lakini unasema leta ushaidi. Kikwete angekuwa amechaguliwa na watu angekuwa na uchungu na watu waliomchagua. Hata kama watu walitia tiki kwenye jina lake baada ya kupewa ubwabwa, kofia na kanga hao hawakumchagua kwa mapenzi yao bali ni umasikini uliosukuma wamchague (kama walimpigia kura). JK anajua alitumia pesa nyingi kupata hiki cheo na sasa ni wakati wake kula raha. He doesnt care.
 
Hakuna kitu kama hicho, JK wala hana pressure ya madaktari. Sidhani kama madaktari wana umuhimu wowote kwa CCM kama watu wanavyofikiri. Serikali ilivyojitoa kutoa huduma bure hospital ndio ulikuwa mwisho wa umuhimu wa madaktari kwa serikali. Wawaeleze wazi watu waskini kuwa enzi za mwalimu Nyerere za matibabu bure au ya bei nafuu zilishapitwa na wakati. Vilianza viwanda kufa, yakaja mashule (shule kama Minaki sasa ni kama magofu). Na hospitali ndio zinakwenda hivyo. Kwa maana nyepesi kabisa inaama madaktari nendeni mkajiajiri sekta binafsi. Umuhimu wenu haupo tena, sasa ni soko huria. Ndani ya ubepari maskini anakuwa na maisha mafupi sana, vifo mnavyoshuhudia huko hospital ndio hali halisi
 
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
Are you paid to post stupi d stuff in the forum !?
 
Tik tak tik tak counting! Sitoshtuka nikisikia asubuhi wakiona kweli mgomo umeanza Mponda na Nkya watajiuzulu.
 
Tik tak tik tak counting! Sitoshtuka nikisikia asubuhi wakiona kweli mgomo umeanza Mponda na Nkya watajiuzulu.

Mheshimiwa Mwanakijiji na wengine wote with all respect to you folks, hebu tuwe wakweli kidogo tu, hivi serikali ikianza kusalimu amri kwa madakatari, nchi itatawalika kweli? mtazame kwa mlango mpana

Tuongee kama waungwana siyo kwa sababu tu hatutaki CCM au hatumataki JK, lakini ki ukweri serikali kwanza ilifanya makosa kuwakubalia madaktari, hakuna fani iliyo muhimu zaidi ya nyingine hapa duniani, kila fani ina umuhimu wake katika jamii, mgomo wa madaktari na mstakabadhi wa posho za wabunge, ilikuwa ni wakati muafaka kwa serikali kufanyia marekebisho mishahara yote, kwani watu kwa miaka mingi walikuwa wakilalamika uwiano wa mishara ya ya Benki kuu, TRA ambapo kuna wakati karani wa BOT alikuwa anamzidi mshahara profesa wa chuo kikuu.
Laiki serikali yetu imeshindwa kutumia huu wakati na mwanya kufanya marekebisho, manasahau kuwa hawa madakatari mpaka kufikia hapo ni kazi nzuri iliyofanywa na walimu toka shule za msingi mpaka sekondari, huwezi kuataarishwa ukiwa chuo kikuu peke yake, kama msingi ni mbovu hata hapo hafiki, sasa leo tunataka kuwadharau hawa wengine why?

Serikali lazima isimamame kidete kupinga huu upuuuzi
 
Tik tak tik tak counting! Sitoshtuka nikisikia asubuhi wakiona kweli mgomo umeanza Mponda na Nkya watajiuzulu.

Mimi naona hao mawaziri ni kuwatoa kafara tu. Kosa si lao kosa ni policy. Tuweke policy hapa ya kutokuwa hospital binafsi na mawaziri wote watibiwe Mwananyamala au Ilala tuone kama hospital hazitabireshwa.
 
Mheshimiwa Mwanakijiji na wen gine wote with all respect hebu tuwe wakweli kidogo tu, hivi serikali ikianza kusalimu amri kwa watu nchi itatawalika kweli?

Tuongelee kama waungwana siyo kwa sababu tu hatutaki CCM au hatumataki JK, lakini ki ukweri serikali kwanza ilifanya makosa kuwakubalia madaktari, hakuna fani iliyo muhimu zaidi ya nyingine hapa duniani, kila fani ina umuhimu wake katika jamii, mgomo wa madaktari na mstakabadhi wa posho za wabunge, ilikuwa ni wakati muafaka wa serikali kufanyia marekebisho mishahara yote, kwani watu kwa miaka mingi walikuwa wakilalamika uwiano wa mishara ya ya Benki kuu, TRA ambapo kuna wakati karani wa BOT alikuwa anamzidi mshahara profesa wa chuo kikuu.
Laiki serikali yetu imeshindwa kutumia huu wakati na mwanya kufanya marekebisho, manasahau kuwa hawa madakatari mpaka kufikia hapo ni kazi nzuri iliyofanywa na walimu toka shule za msingi mpaka sekondari, huwezi kuataarishwa ukiwa chuo kikuu kama msingi ni mbovu hata hapo hafiki, sasa leo tunataka kuwadharau hawa wengine why?

Serikali lazima isimamame kidete kupinga huu upuuuzi

Unaposema serikali kusalimu amri ni upotoshaji mkubwa. Serikali makini ingewawajibisha Mawaziri husika kitambo mara baada ya kubaini mapungufu yao (hata baada ya kushauriwa na Bunge pia). Serikali makini isingedanganya Madaktari mpaka wakahairisha haya matatizo. Binafsi nilikuwa naimani kubwa na serikali, lakini baada ya kulifanyia mzaha jambo hili sitaiamini tena serikali hii. Machungu yaliyopita hata hayajapoa wanatuletea majaribio mengine. Kama imepata huruma yako kasaidie kutibu mahospitalini ili ipate nafasi ya kuwafunga madaktari wote gerezani. Yani unaishauri serikali hii isimame kidete kulazimisha maovu yake, sijui kama yatavumilika tena.
 
Mwaka Miaka ya tisini kulikuwa na migomo ya wanafunzi, wanafunzi waligooma weee, mwisho yakaisha. Sasa hali ni mbaya kwenye mashule ya serikali tupo kimya. Vikaja viwanda, Urafiki waligoma wee, mwisho wapo,kimya, Miaka ya karibuni kulikuwa na mgomo wa reli. Watu wamegomaa weee, mpaka sasa tupo kimya. Sasa madaktari watagoma weee, watu watakufa mwishoni watu hawatapeleka tena wagonjwa wao mahospitali ya serikali ndio utakuwa mwisho wake. Sijui itafwata sekta gani?. Kwanza nifikirie kama kuna kilichobaki
 
Mimi naona hao mawaziri ni kuwatoa kafara tu. Kosa si lao kosa ni policy. Tuweke policy hapa ya kutokuwa hospital binafsi na mawaziri wote watibiwe Mwananyamala au Ilala tuone kama hospital hazitabireshwa.

we binti unaongea pointi za maana sana. lakini watoto wazuri kama wewe saa hii wamelala, we unangoja nini usiku wote huu?????
 
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?

wapeni haki zao na migomo itakwisha.
serikali ikusanye kodi ka wafanya biashara wakubwa, iache kuonea wananchi.
 
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?

Mbona hii habari imekaa kizushi sana?
 
Back
Top Bottom