Baraza la mawaziri la dharula usiku huu

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
 
Tunateseka kwa sababu Rais aliye madarakani hakuchaguliwa na watanzania, alitumia pesa yake kupata madaraka, viashiria ndio kama hivi, jifunzeni kwa mfano wa nabii suleiman alipoletewa kesi mbele yake kuwahusu wamama wawili wakivutania kitoto kichanga ki-hai na mwili wa kitoto kichanga kana kwamba mtoto yupi ni wa nani huku kila mmama akidai aliye hai ndiye wake! (mmama mmoja wao alifanya hila, alimlalia mwanae usiku akafa, akamchukua wa mwenzie na kumuweka wake aliyekufa ubavuni pa mwenzie. walipoamka tazama mwenzie alipomtazama kwa makini aligundua kitoto kilichokufa si chake mzozo ukaanzia hapo) mfalme suleiman alipoona kila mmoja anang'ang'ania kuwa mtoto mzima ndiye wake, aliamua aletewe shoka ili amcharange vipande viwili awagawanyishe wale wamama. yule mwenye mtoto hai aliposikia hivyo akamwambia mfalme akasema mpatie huyu mama mtoto huyu hai usimcharange! lakini yule aliyemlalia kichanga wake akamwambia mfalme akasema "bora umcharange tukose wote!!!" ndiposa mfalme suleiman alipotambua ya kuwa kichanga hai kilikuwa cha yule mama aliyebambikiwa na mwenziwe, na akaamuru akichukue kichanga chake. AMINI NAWAAMBIENI kikwete hakuchaguliwa na watanzania. Ni baba gani watoto wake wakimuomba samaki akawapa nyokaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?
 
Yaleyale ya kupima upepo na kuipa kisogo taaluma na weledi.! Serikali hii?? Sijui itakumbukwa kwa lipi
 
Kwakuwa walishazoea kufanya maamuzi kisiasa zaidi hawajali bt muda unakaribia kuisha, hiyo amani mnayoihubiri kila siku huku nyie mkiwa chanzo cha maangamizo kwa jamii hiyohiyo kinakwisha, hamta amini udhubutu wa watanganyika, pindi huo muda utakapofika.
Polisi wanaua raia kama nzige hakuna wakuwaonya, kinachotokea mnalindana, waziri anatamka utumbo boss wake yeye anawaza wapi pa kwenda kuzurura.
Muda unakuja.
 
Unaweza ku prove kama rais hakuchaguliwa na sisi ?
 
Kama hizi taarifa ni za kweli nitashangaa sana. Moshi na Dar sio mbali ki-hivyo, kwa nini rais asipande ndege aje kutatua mgogoro yeye mwenyewe?

Yuko busy anapanda mlima Kilimanjaro!!
 
Nalaumu sana TISS na taarifa wanazompa mkuu wa nchi,hali ni dhahiri itachafua nchi lakini system nao kama wamechoka vile!!!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kwakuwa walishazoea kufanya maamuzi kisiasa zaidi hawajali bt muda unakaribia kuisha, hiyo amani mnayoihubiri kila siku huku nyie mkiwa chanzo cha maangamizo kwa jamii hiyohiyo kinakwisha, hamta amini udhubutu wa watanganyika, pindi huo muda utakapofika.
Polisi wanaua raia kama nzige hakuna wakuwaonya, kinachotokea mnalindana, waziri anatamka utumbo boss wake yeye anawaza wapi pa kwenda kuzurura.
Muda unakuja.
Jipange unaongea sana huna point
 
Kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. JK mwenyewe yuko Moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa Makamu wa Rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa Dr. Mponda na Nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la Pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
Weka source
 
Nasikia "mzee" huwa anachungulia humu! Mzee akili za kuambiwa changanya na zako!!
 
kuna tetesi nzito kuwa kikao cha baraza la mawaziri cha dharula usiku huu. Jk mwenyewe yuko moshi lakini kaagiza kifanyike chini ya uenyekiti wa makamu wa rais.
Agenda kuu ni mgomo wa madaktari na kuona njia ya kuwaondoa dr. Mponda na nkya bila kusababisha political fallout. Lile zengwe la pinda la hapo awali ilikuwa ni danganya toto ili kupima joto ya maji.

Mawaziri wengi matumbo yako moto. Kuku weusi, kondoo na ng'ombe wameteketea kwa kasi jana na leo katika familia za mawaziri.

Hili ni la kuvunda halina ubani. Amewanyima madaktari mgomo umerudi, akiwapa, walimu wanagoma. Afanyeje?
jk hakika utakumbukwa. Anyway mi napita tu naelekea apolo hosp.
 
Back
Top Bottom