Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

Hakuna jipya hapo,wote watakaoteuliwa ni wachumia 2mbo kama jk mwenyewe.genge la weze.
 
Hili baraza lazima liwe na Bonge la suprise. Huu ucheleweshaji huu. There must be a ceratain discusion on how to include some people whom we never thought of.
 
Watanzania bwana tuna kazi kweli kweli. Wazungu walikaa wakatumia ubongo wao wakagawanya mwaka katik miezi, mwezi katika wiki, wiki katika siku, siku pia ikagawanywa katika saa, saa katika dkk na dkk katika sekunde. Hii yote ni katika kurahisisha kupeana muda sahihi lakini leo tunasema WAKATI WOWOTE. Hiyo wakati wowote hauna mwezi, siku wala saa?

Una uhakika ndugu yangu kuwa wazungu ndio walikaa wakagawa masaa? au ndo unafanya uzunguishaji kama kawaida ya wabongo wenye fikra chapwa? Anyway, tafuta watu wakufundishe somo la dhana ya Falsafa za kiafrika, zitakuwa na msaada kwako.
 
Watanzania bwana tuna kazi kweli kweli. Wazungu walikaa wakatumia ubongo wao wakagawanya mwaka katik miezi, mwezi katika wiki, wiki katika siku, siku pia ikagawanywa katika saa, saa katika dkk na dkk katika sekunde. Hii yote ni katika kurahisisha kupeana muda sahihi lakini leo tunasema WAKATI WOWOTE. Hiyo wakati wowote hauna mwezi, siku wala saa?

Well well said and i like it
 
Hivi Anna Tibaijuka yupo kweli?

Manake aliingia na bomoa bomoa yake halafu ghafla akawa hasikiki kama ilivyokuwa awali.

Huyo Mama Hana Jipya!! Naona kama Vuvuzela Tu!! Tunayo maeneo Machache ambayo Mungu ametujalia yakawa planned!! Kama sinza na Mikocheni!! Huyu Mama ameshindwa hata kwenda kufanya Law reinforcement ili watu wote walioziba njia kwa kuweka Groceries na biashara nyingine wapishe Njia!! Sasa anachofanya wala mbona Hatukioni? Bora apingwe Chini!!
 
Kwa bongo hii inaweza hata kuwa wakati wowote 2014. Sitashangaa!!!!.......
Watanzania bwana tuna kazi kweli kweli. Wazungu walikaa wakatumia ubongo wao wakagawanya mwaka katik miezi, mwezi katika wiki, wiki katika siku, siku pia ikagawanywa katika saa, saa katika dkk na dkk katika sekunde. Hii yote ni katika kurahisisha kupeana muda sahihi lakini leo tunasema WAKATI WOWOTE. Hiyo wakati wowote hauna mwezi, siku wala saa?
 
Watanzania bwana tuna kazi kweli kweli. Wazungu walikaa wakatumia ubongo wao wakagawanya mwaka katik miezi, mwezi katika wiki, wiki katika siku, siku pia ikagawanywa katika saa, saa katika dkk na dkk katika sekunde. Hii yote ni katika kurahisisha kupeana muda sahihi lakini leo tunasema WAKATI WOWOTE. Hiyo wakati wowote hauna mwezi, siku wala saa?

I like this!
 
Yah. Wanaweza pia kutumia circular resolution

Mkuu Polisi una maana ile ya tender board!!! Manake watu wakitaka kupitisha manunuzi yao ya kimagumashi wanatumia circular resolution; inanikera hii.
 
Last edited by a moderator:
Ikulu imetoa taarifa rasmi kwamba baraza jipya la mawaziri liko jikoni na sasa litatangazwa muda wowote kuanzia sasa..taarifa hiyo imeongeza kwamba baraza hilo litakua lina ubora wa hali ya juu sana.

Chanzo:gazeti mwananchi.

Ubora una maana nyingi kwa anayeliunda, huenda hawa ni wezi stadi ambao cag hawezi wakamata kirahisi
 
Back
Top Bottom