Baraza la madiwani sengerema lawafukuza kazi wakuu wa idara na vitengo 9

nnn

Member
Jun 6, 2011
41
3
Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Sengerema katika kikao chake cha katikati ya wiki hii limeazimia wakuu wa idara na vitengo tisa kufukuzwa kazi.Hii ni baada ya bodi ya zabuni kuhusishwa na matumizi mabaya ya fedha.Wakuu hao wa idara na vitengo walikua wamesimamishwa kazi kwa muda kama wa miezi miwili iliyopita.Baadhi yao ni Mwanasheria wa halashauri,Afisa mipango wa halmashauri,Afisa maendeleo ya jamii wa halmashauri hiyo na wengine.Hawa wote wamo katika bodi ya zabuni ya whalmashauri.SOURCE MIMI MWENYEWE TOKA SENGEREMA
 
ni kujidanganya tu wakati halmashauri zinapata asilimia 23% ya bajeti yote serikali na serikali kuu inabaki na asilimia 77% ya bajeti na kuzila kama akina Jairo na Mkulo.Uwajibikaji unatakiwa serikali zote Kuu na Mitaa.
 
Back
Top Bottom