Baraza la madiwani Arusha lashindwa kukaa tena

This is very interesting.What a contradiction!! You can fool some people for some time but you cant fool all the people all the time...

Rrrrrrrahaaaaa,hahaha kazi kweli kweli!
Giza na mwanga havipatani,kama jinsi ukweli na uongo vinavyo tengana!
Its just a matter of time!

pinda alisema uchaguzi wa meya ulikua ni halali kwa sababu idadi ya madiwani ilitimia,...
alipoitwa muongo bungeni spika alimtetea na wakaficha ushahidi....

Mnakumbuka Dr.Slaa aliposema usalama wa taifa una chakachua kura?
usalama wa taifa walisemaje?

mnakumbuka sumaye (waziri mkuu kwa miaka10) alisema kina nani wanaamua nani awe raisi?
wananchi,dola,na.....

Nani muongo leo?
Je,Pinda bado alisema ukweli?
Au uongo wa mzee ni ukweli,kwa kuwa wazee hawadanganyi?...Tena anapokuwa waziri mkuu

hahahaha,i love this game
 
Ndo uzuri wa kukamia mambo ya leo bila kujua kesho itatokea nini!
 
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.

wewe uliowachagua si wa CCM ? wao si wapo si wangeendelea kuwatumikia tuu? mbona uchaguzi wa Meya waliendelea? leo wameona umuhimu wa kufuatwa kwa sheria?
 
Wakuu nawashukuru wote mnaochangia kwa hoja,msimamo wetu upo wazi,na kamwe hatukubali uhuni wa ukiukwaji wa sheria
Leo walitupa barua za wito wa kikao cha saa mbili na nusu,ila wao wa ccm wakafika saa nne na wakati wote walikuwa wanajaribu kutushawishi ili tujiandikishe kwenye rejista tukakataa hali iliyosababisha korum kutotimia,leo wamejua quorum daima tutasimamia haki maana ndio msingi wa maendeleo
 
kishongo,
asante kwa post yako. Napenda kufahamu
i) wewe na nani "hamtadanganyika tena"?
Ii) mlikutanana wapi kuweka misimamo huo?
Iii) nakuhakikishia wananchi wa arusha msimamo wao ndio huo wa madiwani wa chadema. Kuna uhuni gani mkubwa zaidi ya "kupindisha sheria kama walivyofanya serikali na ccm. Ni swala la muda yatawatoka puani. Kama bajet inashindikana kwa ajili ya quorum watrtueleze quoram ya uchaguzi ilitoka wapi. Ndiyo maana chadema tulikataa option ya kwenda mahakamani. Sababu ni kuwa uchaguzi huo haukuwepo kwa kuwa ulikuwa "null and void 'ab initio'".
Hivyo jadili kwa hoja zaidi kuliko ushabiki tu.

saaafi saaan waambie hao washankunaku!!!!!
 
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.

umerudi lini mkuu? Naöna unaitetea ccm yako.
 
Hongera zenu na hususani mtaalamu wenu wa mipango (strategist). Kweli ni mzoefu na amebobea kwa mbinu za ushindi.
 
Hao madiwani tumewachagua watutumikie, siyo kufanya usanii kwenye masuala muhimu.
Huo ni uhuni wanatufanyia sisi wapigakura wao.
Sasa tumewaelewa. Hatutadanganyika tena kuwachagua.

mambo ya msingi ni yapi we takataka?
 
Kishongo,
Asante kwa post yako. Napenda kufahamu
i) wewe na nani "hamtadanganyika tena"?
ii) Mlikutanana wapi kuweka misimamo huo?
iii) Nakuhakikishia wananchi wa Arusha Msimamo wao ndio huo wa Madiwani wa Chadema. Kuna uhuni gani mkubwa zaidi ya "kupindisha sheria kama walivyofanya Serikali na CCM. Ni swala la muda yatawatoka puani. Kama bajet inashindikana kwa ajili ya Quorum watrtueleze quoram ya uchaguzi ilitoka wapi. Ndiyo maana chadema tulikataa option ya kwenda mahakamani. Sababu ni kuwa uchaguzi huo haukuwepo kwa kuwa ulikuwa "null and void 'ab initio'".
Hivyo jadili kwa hoja zaidi kuliko ushabiki tu.

mkuu kama unaelewa majawabu ya kishongo katika post zilizopita nadhani usingechukua muda kumjibu mtu huyu kwa kuwa mlengo wake jf twaujua. Pia napenda kujua wewe ni nani hasa maana dr.Slaa anatumia ID ya Dr. W.P. Slaa sasa naona kama Id ya dr.wa ukweli imechakachuliwa! Kadhalika sisi wananchi wapiga kura tupo bega kwa bega na cdm si kwa Arusha tu bali Tanzania nzima mpaka kieleweke! Muda si mrefu mafisadi wataielewa "nguvu ya umma". There is no stone to be left unturned!
 
Wakuu nawashukuru wote mnaochangia kwa hoja,msimamo wetu upo wazi,na kamwe hatukubali uhuni wa ukiukwaji wa sheria
Leo walitupa barua za wito wa kikao cha saa mbili na nusu,ila wao wa ccm wakafika saa nne na wakati wote walikuwa wanajaribu kutushawishi ili tujiandikishe kwenye rejista tukakataa hali iliyosababisha korum kutotimia,leo wamejua quorum daima tutasimamia haki maana ndio msingi wa maendeleo

mkuu wembe ni ule ule msitusaliti wapiga kura wenu,endeleeni ivo ivo kusimamia ukweli na ndo haki itapatikana. Tumechoka utawala wa ubabe wa nchi yetu,lakini kwa kuwa demokrasia ipo,endeleeni kusimama kidete mpaka kieleweke,siku za mwizi ni40,ngoja ccm waone kuwa zimetimia,na wakumbuke kuwa njia yao ya uongo ni fupi! Kazi njema mh. Diwani.
 
Nasikia uchungu sana kwa nchi yangu hii tukufu hasa pale ninapoona tunaongozwa na viongozi ambao hawajui hata sheria,kanuni na taratibu ambazo wanaziongoza,mheshimiwa Pinda tena kwa mbwembwe za kujiona yeye ndiye kidume alikuwa tayari kuuelezea umma wa watanzania kuwa waliyoyahalalisha Arusha ambayo yalikuwa haramu basi hayana mwisho,kumbe kuna wenye kujua mambo makubwa kuliko yeye na waliamua kukaa kimya tu kuona mwisho wake na tunakuja kuona kuwa kumbe mambo hayapo sawa.
Kama iliwezekana kumchagua meya wa Arusha inashindikana nini kupitisha bajeti?Ha ha ha ha ha naona kabisa C....pi zinawabana na wanatafuta pa kutokea.
 
Hapo chachaaa,njia ya mwongo fupi kweli yaani april tu wamefika kikomo,yetu macho
 
Tunamsubilia Pinda Alhamisi ijayo ama kuokoa Arusha au Kuingiza vitani pengine nchi nzima....

Duh, ww kweli mchicha mwiba, unamsubiri pinda afanye nn wakati aliisha lielezea hili suala bungeni kwa ufasaha ? suluhisho la hapo ni CDM kwenda mahakamni tu, uwoga wa nn na huko ndiko haki inakopatikana?
 
Hakika maneno ya hawenga huwa hayaanguki walisema njia ya muongo ni fupi, Mh lema pia alisema pale bungeni kuwa Pinda kadanganya, column ya uchaguzi Arusha haikutimia, makinda akamvaa kwa kutaka ushahidi sasa shuuu linawashuka.., wanashindwa kupitisha bajeti kisa CDM hajarejista na so column haitoshi! wa CCM wajue tu si tunawasubiri Ngamani maana imesemwa " mwenda tezi na omo, marejeo ngamani! Aluta continua hureeeeeeee Arusha!
 
Mheshimiwa diwani Nanyaro naomba utupe update ya yanayojori pande hizo za Arusha.

Back
Top Bottom