Baraza la Kiislamu la Maadili lalaani kuzomewa Dk Magufuli

Mia mbili ( 200 ) Kitu gani banaaaa...........?? Watu wamerundikiwa maposho na wananchi hao wa magogoni wapo kimyaaa tu ! Alafu huu unafiki wa Wabunge wa mkoa wa DAR ES SALAAM ni waajabu sana yaani wao kwenye posho kimyaa ila kwenye nauli ya feri ndio wameona waungane dhidi ya Magufuli............?? Unafiki mkubwa ! Hiyo nauli kwanza bado ndogo sanaa................!
 
Kauli za hawa mabwana zinatia kichefuchefu: juzi hawa hawa walikuja na tamko ya 'Rais ajaye atoke Zanzibar', 'Leo wana la Maghufuli...', 'Miezi iliyopita la DC mvuliwa hijabu/ kitambaa'.Ni lini mabaraza haya yana hoja za maana hasa za kutetea haki za wanyonge na kutetea utajiri wa taifa letu unaoliwa kiwaziwazi? Yanasituka tu pale mkubwa fulani anapoguswa. na Nina shaka sana na uzalendo wa hawa wenzetu. Hawa ni sehemu ya ccm ya kuvuruga wapinzani na demokrasia nchini na ni wabinafsi wakubwa! Mbona hawasemi la waziri huyu kuwatukana wananchi?
 
nashindwa kujua though am a muslim,sijui maadil wanayoyazungumzia ni yapi?hebu tuanze na maadil kwenye taasis zetu,mfano shulen vijana hawana maadili,pia hata maadil ya kusimamia taasis hakuna,nadhan tujikite huko,coz kama zomeazomea hata Bungen ipo,miskitin pia ukizingua unazomewa,
MASHEKH MSIKURUPUKE MWAIDHALILISHA DINI NA WAUMIN PIA
WABILLAH TAWFIQ

Mkuu, umenikumbusha pale wabunge wa chadema alivyokuwa wanatoka bungeni walikuwa wanazomewa na wabunge wa ccm + cuf, lakini wa mashehe walikuwa kimya.
 
Mia mbili ( 200 ) Kitu gani banaaaa...........?? Watu wamerundikiwa maposho na wananchi hao wa magogoni wapo kimyaaa tu ! Alafu huu unafiki wa Wabunge wa mkoa wa DAR ES SALAAM ni waajabu sana yaani wao kwenye posho kimyaa ila kwenye nauli ya feri ndio wameona waungane dhidi ya Magufuli............?? Unafiki mkubwa ! Hiyo nauli kwanza bado ndogo sanaa................!

Wenzako mashehe wanamtaja mnyika, na ww unamaanisha mnyika hakulalamika kuhusu ongezeko la posho?
 
Mkuu, umenikumbusha pale wabunge wa chadema alivyokuwa wanatoka bungeni walikuwa wanazomewa na wabunge wa ccm + cuf, lakini wa mashehe walikuwa kimya.

waislam kuna mahali tumejikwaaa,na hata vijana wa kiislam bado hawatak kujitambua,hawa mashekh weng hawana elimu ya circular,na wapo kimaslah na kwa matumbo yao,
Vijana wa kiislamu ni wakati wa kuamka na kujipanga,tusiwaendekeze watu wanaoendekeza njaa,
 
Pamoja mkuu, lakini hawa jamaa wanatukwaza hata sisi waiislam wengine na matamko yao, mbona hawakuongelea kauli aliyoitumia magufu kuhusu kupiga mbizi au alikuwa sahihi kusema watu wapige mbizi? inabidi tuangalie wapi tumejikwaa. waliozomea ni watu wa kigamboni iweje wapambane na mnyika?
 
Sasa Waislamu mutaona hatari ya watu kama hawa wa Baraza la Maadili kuteuliwa kuwaakilisha katika Constituent Assembly tokea "faith-based organizations" ya kujadili katiba mpya. Mashehe hawa hawakuona kejeli za Waziri. Pia, hawakutilia maanani kwamba kilichopanda sio tu nauli ya abiria bali pia nauli ya guta itakayopanda hadi kufikia 1800/= - gharama ambayo itawaangukia walala hoi. Hata CCM Dar es Salaam wamesikitishwa na kejeli za Waziri. Ni muhimu kwa Waislamu kupinga mashehe kama hawa kuingia katika Constituent Assembly kwani kazi yao itakuwa tu kutetea Establishment. Hata Waislamu hawatawakilisha maslahi yao!
 
Nadhani hapa umechanganya mambo? Swali ni mabalaza ya waiswalmu na sio idadi ya madhehebu (kama unavyotoa mfano wa Mbeya).

sawa!lakini je wakristo wana baraza moja tu tanzania nzima?kama hapana kwanini waislam wahojiwe na muuliza swali kwa kuwa na baraza zaidi ya moja?
 
Hii hoja ya kuingia Ubungo Terminal imeanzia mbali kidogo lakini wenye akili zao wakaipuuza kwa sababu haina mashiko wala mantiki kwa somo lililopo mezani.

Naomba kuuliza, T.Shs. 200/= za kuingia Ubungo Terminal ni nauli?

Kinachozungumziwa hapa ni nauli tena ya Pantoni Kigamboni na siyo viingilio vya kuingilia sijui wapi; mtaanza pia kuhoji na sadaka tunazotoa sijui wapi ni za nini. Jamani, lets use common sense.
hoja ya msingi ya kuulizwa hivyo hapo ni kumchllenge mheshimiwa mbunge ajaribu "kupima" hicho kiingilio cha hapo terminal ambapo ni jimbo lake la uchaguzi then atizazame kama kuna makosa ashughulikie kwanza hilo kabla ya kukimbilia kupanda panton!
 
Pamoja mkuu, lakini hawa jamaa wanatukwaza hata sisi waiislam wengine na matamko yao, mbona hawakuongelea kauli aliyoitumia magufu kuhusu kupiga mbizi au alikuwa sahihi kusema watu wapige mbizi? inabidi tuangalie wapi tumejikwaa. waliozomea ni watu wa kigamboni iweje wapambane na mnyika?

mimi ninafanya kaz kwenye taasis za kiislam,yaan hakuna any inn0vatiön 4 dEv,ila ni ujuha tuu,sasa kwanza tujisafishe csi ndo tuangalie mengine,ya kwetu yanatushnda ya wanasiasa tutayamudu?
 
hoja ya msingi ya kuulizwa hivyo hapo ni kumchllenge mheshimiwa mbunge ajaribu "kupima" hicho kiingilio cha hapo terminal ambapo ni jimbo lake la uchaguzi then atizazame kama kuna makosa ashughulikie kwanza hilo kabla ya kukimbilia kupanda panton!

Vizuri kabisa nakubaliana na wewe kwamba ni challenge ila cha kushangaza kaonekana Mnyika tu! Sawa, unaweza kusema ni mfano. Je, na aliyoyaongea Magufuli Shehe hakuyaona? Mbona kaegemea upande mmoja? Wananchi walio wengi wa Kigamboni wamepinga kauli ya Magufuli, CCM Dar "wamepinga" kauli ya Magufuli lakini Shehe kamwona Mnyika tu na Ubungo yake.

Hebu acheni UNAFIKI wajameni! Hebu acheni kutumika kisiasa ndugu zetu. Kubali usikubali, kauli ya Shehe ina AJENDA YA SIRI NDANI YAKE. OVER!
 
mbona hawasemi wakazi wa kivukoni jimbo la zungu wanalipa nauli kubwa kwenda kiluvya?au kwa vile zungu baragashia mwenzao,.walipewa sahani ngapi za pilau?

upotoshaji jazz band...........!jamani mi naona hapa tatizo ni mnyika kutajwa kama mfano,lakini issue sio mnyika pekee,tunawachllenge wabunge wote wa dar waliojitumbukiza kwenye issue ya magufuli na kivuko kasoro wabunge watatu tu ambao ni Faustine ndugulile ambae kigamboni ni eneo lake la kujidai na Halima mdee ambae yeye alitambua ana mengi ya kuwashughulikia wapiga kura wake kuliko kwenda kudandia panton la wana kigamboni!
 
Kauli za hawa mabwana zinatia kichefuchefu: juzi hawa hawa walikuja na tamko ya 'Rais ajaye atoke Zanzibar', 'Leo wana la Maghufuli...', 'Miezi iliyopita la DC mvuliwa hijabu/ kitambaa'.Ni lini mabaraza haya yana hoja za maana hasa za kutetea haki za wanyonge na kutetea utajiri wa taifa letu unaoliwa kiwaziwazi? Yanasituka tu pale mkubwa fulani anapoguswa. na Nina shaka sana na uzalendo wa hawa wenzetu. Hawa ni sehemu ya ccm ya kuvuruga wapinzani na demokrasia nchini na ni wabinafsi wakubwa! Mbona hawasemi la waziri huyu kuwatukana wananchi?

Na kuna wale wengine walitudanganya kwamba jk ni chaguo la mungu wakati haikua kweli,hao unawazungumzia vipi labda?
 
Huwa siwaelewi Waislamu.
Tatizo ni kutokusoma au nini ?

Waislamu wanahitaji kusaidiwa mana wanadanganyika mno.
Sorry nikiwa nimewaudhi.
mi nashukuru tu magufuli sio muislam maana inaonekana angekua muislam hali ya hewa hapa ingechafuka zaidi ya hivi,ndio mana kila wakati huwa nasema nyie waumini wa hizi ABRAHAMIC religions mna tabu sana,kila mjadala ukiibuka lazima muuhusishe na hizo dini zenu mbili,hapa utaona tunakosa mchango mizuri independent kutokana na watu kuigeuza kwa makusudi hii issue ionekane ya kidini,upotoshaji wa hali ya juu kupata kutokea,tujadili usahihi ama upotofu wa magufuli(serikali)kuongeza nauli baada ya nauli hiyo kudumu kwa miaka 14,na kuonekana kuwa expired sasa,wengine hapa mna nyumba na mna wapangaji kwenye nyumba zenu,vipi hamjapandisha kodi ya nyumba zenu hata mara moja kwa angalau miaka mitano?
 
..hilo tamko ni la Shekhe binafsi au la Baraza la Maadili ya Kiislamu Tanzania?

..halafu kwanini Shekhe/Baraza wamemshambulia Mnyika peke yake wakati ktk sakata hii yuko pamoja na wabunge watatu wa CCM?

..pia CCM mkoa wa DSM wameungana na wabunge[mnyika,mtemvu,zungu,ndugulile] kupinga ongezeko la nauli. sasa kwanini Shekhe/Baraza hawajaushukia uongozi wa CCM mkoa wa DSM?
 
Vizuri kabisa nakubaliana na wewe kwamba ni challenge ila cha kushangaza kaonekana Mnyika tu! Sawa, unaweza kusema ni mfano. Je, na aliyoyaongea Magufuli Shehe hakuyaona? Mbona kaegemea upande mmoja? Wananchi walio wengi wa Kigamboni wamepinga kauli ya Magufuli, CCM Dar "wamepinga" kauli ya Magufuli lakini Shehe kamwona Mnyika tu na Ubungo yake.

Hebu acheni UNAFIKI wajameni! Hebu acheni kutumika kisiasa ndugu zetu. Kubali usikubali, kauli ya Shehe ina AJENDA YA SIRI NDANI YAKE. OVER!

Muhimu kuzingatia issue ya kupiga mbizi isiteke hoja ya msingi ambayo ni waziri kupandisha nauli na wabunge na baadhi ya wananchi kupinga na kudai hana ubavu!hii ya kupiga mbizi inataka kutumika tu,wabunge wangejikita kumchallenge kwenye hiyo tungewaelewa sio kupinga nauli na kujaribu kuonekana wakijipigia debe eti wapewe wao kazi ya kukiendesha kivuko(hii sijawahi kuisikia kwa wabunge popote pale duniani),nani anawatumia wabunge wetu kutamani kuwa watozwa ushuru wa kivuko?kuna nini hapa?
 
..hilo tamko ni la Shekhe binafsi au la Baraza la Maadili ya Kiislamu Tanzania?

..halafu kwanini Shekhe/Baraza wamemshambulia Mnyika peke yake wakati ktk sakata hii yuko pamoja na wabunge watatu wa CCM?

..pia CCM mkoa wa DSM wameungana na wabunge[mnyika,mtemvu,zungu,ndugulile] kupinga ongezeko la nauli. sasa kwanini Shekhe/Baraza hawajaushukia uongozi wa CCM mkoa wa DSM?

Nadhani mnyika ametumika kama mfano hai tu,kutoka na nauli ya mbagala mwenge kuwa 450 tu,wakati ya kiluvya ubungo ni 900!ndio wakonyesha mshangao wa hiyo huruma ya mnyika kwa wana kigamboni kuonekana ni ya kinafiki,kwani huruma hiyo kama kweli tungemsikia hata akiizungumzia tu nauli ya kiluvy ubungo ambayo yuko nayo karibu zaidi au kile kiingilio cha pale ubungo bus terminal ambacho familia ya mzee kingunge inatukamua shs 200!na mnyika kakaa kimya mpaka tumeizoea!
 
Romantic,

..Pombe Magufuli kamshambulia Mnyika.

..Shekhe na Baraza lake wanamshambulia Mnyika.

..Mchambuzi wa JF naye anamshambulia Mnyika.

..mimi nadhani hizi ni dalili za kukimbia hoja ya msingi hapa.
 
Romantic,

..Pombe Magufuli kamshambulia Mnyika.

..Shekhe na Baraza lake wanamshambulia Mnyika.

..Mchambuzi wa JF naye anamshambulia Mnyika.

..mimi nadhani hizi ni dalili za kukimbia hoja ya msingi hapa.

mi nadhani mnyika amekua victim kwenye hili na kuonekana kama ni target ya kila mtu kutokana na kuwa katika jimbo lake kuna mapungufu ya kutosha yanyofanana na hili linalomhusu mbunge wa kigamboni zaidi ambayo bwana mnyika hakuwahi kusikika akiyaaaddress mapungufu hayo,ndio watu wanamuuliza mheshimiwa kwanini ni kigamboni na sio ubungo bus terminal au ubungo kiluvya kwanza?mbona abas mtemvu kutoka kwake mpaka mwenge wapiga kura wake wanatozwa shs 450 tu?amejaribu kumuuliza abbas mtemvu ametumia mbinu gani kuhakikisha wapiga kura wake hawatozwi angalau 700!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom