KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Ulishaulizwa swali humu hukujibu: Mbagala - Mwenge ni umbali sawa na Kiluvya - Posta? Hebu jibu kwanza hili.
Mbona nilijibu labda ulikua umesinzia!ukirudi nyuma utaona jibu langu...
Ulishaulizwa swali humu hukujibu: Mbagala - Mwenge ni umbali sawa na Kiluvya - Posta? Hebu jibu kwanza hili.
Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?
Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.
Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):
Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.
Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.
Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na
sio kwenda kuwatusi.
Pia mbona hajaulizwa Mbunge wa Ukonga na ilala Nauli ya Posta hadi Chanika ni Shilingi Ngapi?
Wale wa Nzasa hadi Buguruni ni kiasi gani?
Acheni kutumia masaburi kwenye mambo ya msingi.
Pia mbona hawakulaani majibu ya Magufuli? au yeye alikuwa sahihi kuwatukana wananchi? au ndo ile jino kwa jino?
3 je mlishajiuliza ushuru wa ubungo terminal ni tshs 200 just kuingia ndani au kutoka kwa miguu yako, je hizo charges ni za nini?
.........mkuu, "common sense is not common to all" wewe wachukulie hivi hivi tu.Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?
Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.
Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):
Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.
Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.
Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na sio kwenda kuwatusi.
Mkuu kwani kigamboni pia wanatumia dala dala?kiasi cha mafuta kinachotumika kubeba abiria wanaopanda kivuko kwa umbali wa point A na B ni sawa na kinachotumika kubeba abiria wa kiwango hicho kwa dala dala?Hebu naomba unifafanulie hapo,nipe lita za mafuta na operation cost za dala dala na kivuko!Mimi naona Magufuli alichokosea ni ile kauli ya kupiga mbizi na kurudi vijijini wakalime lakini kupanda kwa nauli ni sawa kabisa!!Wala sijachanganya mambo. Hayo ya Mbagala - Mwenge ni maelezo ya ziada tu wala hayana maana yoyote kwenye hoja iliyopo mezani. Swali lililoulizwa na Shehe ni kama linavyoonekana kwenye red na majibu (hesabu) yangu yalijikita kwenye swali na sio maelezo ya Mbagala.
Huyo Shehe anapaswa kujua kwamba Mnyika ana haki ya kutetea pia usafiri wa Kigamboni kwa sababu kuna maelfu ya wapiga kura wake (wana-Ubungo) ambao shughuli zao mbalimbali za kila siku ziko Kigamboni. Sijui kwanini hili linakuwa gumu kueleweka? Well, ukiwa na ajenda za siri haya mambo huwezi kuyaona.
Lakini, je, mipaka ya Mbunge katika kutetea jambo lenye maslahi kwa jamii inaishia wapi? Ndani ya jimbo lake? Au hata nje ya jimbo? Labda Mnyika na baadhi yetu hatuelewi.
Naombeni kujua Waislam wana mabaraza mangapi? Je ni ya dhehebu moja au madhehebu tofauti?
Mkuu kwani kigamboni pia wanatumia dala dala?kiasi cha mafuta kinachotumika kubeba abiria wanaopanda kivuko kwa umbali wa point A na B ni sawa na kinachotumika kubeba abiria wa kiwango hicho kwa dala dala?Hebu naomba unifafanulie hapo,nipe lita za mafuta na operation cost za dala dala na kivuko!Mimi naona Magufuli alichokosea ni ile kauli ya kupiga mbizi na kurudi vijijini wakalime lakini kupanda kwa nauli ni sawa kabisa!!
Mkuu kwenye post yangu nimesema wananchi wakieleweshwa kwa busara hata nauli ikiwa 10,000/= watalipa tatizo ni kwenda kuwatusi then wanakuja baadhi ya viongozi wa dini kujidai kusimama upande wa watawala haohao waliowatukana wananchi.
hivi BAKWATA ndio wasemaji wa serikali
I doubt kuhusu your mathematical background. The maximum measure of perfectness ni 100%, yaani hapo ndo mwisho. Ukiweka zaidi ya 100% unaingia katika category nyingine za matumizi ya percentage, na si how perfect something is! Hapo ni sawa na kumpa mwanafunzi marks 42 wakati uliposet assignments, maximum marks uliweka iwe 40. sasa hata kama amepata zote, hizo nyingine mbili zinatoka wapi? Samahani kwa kutoka nje ya topic, ila inabidi wakati mwingine tuwe tunaingilia kati kuepusha aibu!...Dr. Magufuli is 101% right, i am done... Period..!!!
Kuna umbali gani kati ya nje ya stendi na ndani ya stendi ya Ubungo hadi tulipe Tshs. 200/=?Strong point? Sijui ni kigezo gani katumia huyo Shehe kulinganisha nauli ya Kiluvya na Ferry! Ni umbali? Ni aina ya usafiri? au ni kitu gani alichotumia kufikia conlusion yake?
Kiluvya - Ubungo ni zaidi ya 30km wakati Kivukoni A - Kivukoni B haifiki 1km anyway let's assume its 1km.
Hesabu rahisi (Nauli kwa kilometa):
Kiluvya - Ubungo: 900/30 = T.Shs. 30/km.
Kivukoni A - Kivukoni B: 200/1 = T.Shs. 200/km.
Kwa akili yako na ya Shehe ni nauli ipi ghali? Kiluvya-Ubungo au Kivukoni? Jamani, just use common sense! Otherwise, tuambiwe ni kigezo kipi kimetumika. Naamini wananchi wakiambiwa kwa busara na ufafanuzi wa kueleweka hata kama itakuwa 10,000/= bado wataelewa na sio kwenda kuwatusi.
Kuna umbali gani kati ya nje ya stendi na ndani ya stendi ya Ubungo hadi tulipe Tshs. 200/=?
strong point!
"aliongeza: kwa mfano, wakazi wa kiluvya walioko katika jimbo la ubungo wanalipa nauli sh. 900 kutoka kiluvya hadi ubungo wakati wakazi wa mbagala wanalipa sh 450 kutoka mbagala hadi mwenge. Iweje mbunge wa ubungo, john mnyika akawatetee wakazi wa kigamboni wanaolipa sh. 200 badala wapigakura wake ambao hulipa sh 1,200 kutoka kiluvya hadi posta. Je, huo sio unafiki?
Ni kama makanisa tu yalivyokuwa utitiri hasa mbeya kuna makanisa mengi sana!sheria inaruhusu mkiwa kumi tu mnaweza kuanzisha kanisa!
upande mmoja sheikh kaongea poinj upande mwingine kaongea takataka,nauli ya kiluvya kama ni 1200 bado ni kidogo mno! hongera mnyika. Ebu gawanya km za kiluvya na za kigamboni,utakuta kiluvya wanaenjoy ratio benefit,yan wanalipa kama sh 40 kwa kilometa wakati kgambon walipa sh203 kwa km. Sheikh watumia vgezo gani?ebu rudi shule! naona hata mbunge wa kigoma akiongea sheikh atasema mbona kutoka kgoma elf50 na kgambon mia2 tu! du analysis ya std3!!!