Baraza la Habari Nalo Ni Habari

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Jana nilifuatilia sana n leo imetaarifiwa kwamba Baraza la Habari limeshutumu vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii kwa jinsi vilivyoripoti tukio la kifo cha msanii mmoja marufu hivi karibuni na res-gestae yote....

maoni yangu ni kwamba kwa jinsi nilivyofuatilia hata wenyewe walitoa taarifa kishabiki mno na ilifikia hata Jaji Mihayo naye kuingilia Uhuru wa Mahakama............Mimi nilivyosikia Framing ya shauri lenyewe (inagawa sijui waandishi wa habari waliipataje kwani nasikia kulikuwa na usiri mkubwa) wakili wa serikali aliiambia mahakama kwamba Lulu anashitakiwa kwa kosa la kumuua Kanumba...kama ndivyo ilivyokuwa sioni shida kwa jinsi vyombo vya habari (ikiwemo Uhuru na Nipashe) vilivyoripoti maana ndivyo ilivokuwa framed na wengine walikuwa na ushabiki wa kijinsia zaidi............
 
wale nao wanatafuta umaarufu kupitia ,hilo baraza liko wapi kunahabari nyingi zinaandikwa sizizo na ukweli hawasemi,leo wanajidai wanaingilia kesi isiyo wahusu na kujidai wanajinsia,
 
Back
Top Bottom