Baraza kuu la waislamu bakwata na mashehe na kutoa tamko hii leo......

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
kuna tetesi juu ya taarifa kuwa mashehe na baraza kuu la waisilamu. la bakwata ...watatoa tamko juu ya hali ya inayoendelea kuhusu hali ya nchi inavyoendelea..juu ya dini inayoendelea nchini
 
Bakwata watatoa sawa...Lakini ishu ni hawa watu wa Sheikh Ponda kukubaliana na taarifa watakayotoa Bakwata!
 
Hilo tamko litasaidia nini ilhali haohao masheikh ndo wahubiri wa chuki kwenye mimbari zao na vijiredio vyao?na wanasikilizwa na nani?kina ponda ni wengi sana.
 
kuna tetesi juu ya taarifa kuwa mashehe na baraza kuu la waisilamu. la bakwata ...watatoa tamko juu ya hali ya inayoendelea kuhusu hali ya nchi inavyoendelea..juu ya dini inayoendelea nchini

Baraza gani?
Lenye MABASHA, MASHOGA na WAPIGA RAMLI?
 
Hivi mzee wa matamko Pengo,yuko wapi siku hizi.au bado anajiuliza Nitoke vipi.
 
Hilo tamko litasaidia nini ilhali haohao masheikh ndo wahubiri wa chuki kwenye mimbari zao na vijiredio vyao?na wanasikilizwa na nani?kina ponda ni wengi sana.
We kumbe Mropokaji, huwajui hao bakwata.
Wao wapo kwa ajili ya MWANDAMO WA MWEZI, KUUZA MALI ZA WAKFU'
KUSAFIRISHA MAHUJAJI, na KUPINGA MAAMUZI YA WAISLAMU WENGI AMBAYO
YATAKUWA HAYANA MASLAHI KWA...............
 
Exactly Nicas...
Si Waislamu wote wenye ubaya wa aina hiyo...Hawa wafuasi wa Ponda ni wa hatari sana!

Umenena kweli mkuu. Chukulia mfano Somalia, Alshabab na Nigeria boko haram. Hawa wametengwa na waislam wengine wenye nia njema.
 
Kwanini makanisa yana wanyima hawa jamaa amani kiasi hiki?, kwani hamna majumba ya dini zingine? Why are they so intimidated by Christianity?
 
Back
Top Bottom