Baraza kuu ccm lashinikiza kikwete avunje baraza la mawaziri

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Katika kikao kilicho itishwa na mwenyekiti wake na ambaye ni raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania mh raisi Jakaya Mrisho Kikwete kamati kuu CCM imeshinikiza raisi avunje baraza la mawaziri kuokoa chama amabacho upepo wake ulikuwa unakielekeza mochwali kabisa
sos tv mliman ..
 
safi sana tena waambiwe kabisa kuwa watatakiwa kurejesha mali walizoiba wakiwa madarakani.
 
Katika kikao kilicho itishwa na mwenyekiti wake na ambaye ni raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania mh raisi Jakaya Mrisho Kikwete kamati kuu CCM imeshinikiza raisi avunje baraza la mawaziri kuokoa chama amabacho upepo wake ulikuwa unakielekeza mochwali kabisa sos tv mliman ..
ataweza wkt alishasema huo ni upepo tu?
 
Back
Top Bottom