kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,751
- 595
Mkuu unataka SUK kama ya CUF na CCM kule Zanzibar?
si lazima. mbona obama alipoingia madarakani alimteua waziri wa ulinzi wa george bush kuendelea na wadhifa wake?
Mkuu unataka SUK kama ya CUF na CCM kule Zanzibar?
Kusema za kweli vijana wa Tanzania kuna tatizo kubwa sana!
Katika mazingira ya kila kitu kutaka usasa na uzungu, taifa halina mfumo wa kimaadili na uzalendo!
Matokeo yake ni kila kijana anafikiria kupiga tu.
Taifa legelege limezaa vijana wenye ndoto na matarajio makubwa sana wakizungukwa na umasikini na majukumu mazito, hapo lazima mtu apige tu.
Sijui JK ageukie wapi, ndio maana haya mambo sio ya kuongea mara moja tu, kwakweli tunahitaji kuanza upya tufume upya taifa letu kwa matakwa na namna yetu sisi kama Tanzania.
Katika mfumo wa sasa hata hao wazee ndio wapuuzi nambari moja.
Hatuna pakugeukia kwa kweli.
Hatua za haraka turekebishe sheria zetu katika kuwajibisha maofisa wa serikali na masuala ya rushwa kwa ujumla sheria iongezewe makali kwa kufumua upya pccb na idara ya dpp.
Brilliant, natamani JK angekuwa anasoma hizi. Hawa jamaa wa usalama wa taifa ndio wakati wao huu kufanya screening ili wamshauri mkuu asikurupukie vijana kwa vile wanajipendekeza sana kumbe wana ajenda moja tu ya wizi
Hiki ni Kipindi cha watoto wanaoitwa babby boon ni tatizo all over the world, ila kwa Ulaya wamekuwa smart kwa sababu wako bright na wanatunza uzalendo katika nchi zao, kwa Tanzania maadili ni tatizo (youth are deviants) kuvunjika kwa utarajibu wa JKT umesababisha vijana wengi wasitulie (no control) JKT ilisaidia vijana kuwa pamoja na kuona jinsi ya kuanza maisha katika hali ile ambayo tuliishi JKT, kujenga uvulivu na subira ni jambo muhimu why? Vijana at the age of 20 - 30yrs hakuna wanachopoteza ni umri wao wa kuthubutu (risk age); 30 - 40 yrs ni umri wa kutulia na kupata mwelekeo (focus and sustainability); 40-50yrs ni productive age, managers, leaders na hata katika position serikalini wanahitaji kuwa na Cheo stahiki ni kipindi hawahitaji movement za mara kwa mara ni umri wa kujijenga kwa ajili ya retirement zaidi; 50+ hiki ni kipindi endelevu, consultants, watu wengi wanapenda watambulike na kuheshimiwa na kupatiwa nafasi.

Mkuu kweli wewe si muumini wa vijana lakini ukumbuke Nyerere aliukwaa Urais akiwa kijana wa miaka 37 hivi. Na wengi tunakiri kwamba alijitahidi katika uongozi wake na hakuwa mwizi. Wizi na ufisadi ni ni mmomonyoko wa maadili kwenye jamii yetu. Hivi Mkulo ni kijana yule? Mfutakamba je? Nundu? Mponda?
Tanzania bado tuna vijana wazuri tu na waadilifu watafutwe wawe vetted wapewe nafasi. Tatizo hapa katikati ilikuwa ni ukosefu wa vetting na kujua historia na uadilifu wa watu. Wengi walikuwa wakichukuliwa kwa kuwa kuna kauhusiano fulani ka mtaani ama mtandaoni. Nadhani sasa tutarudi kule kwa zamani ambapo wateule walikuwa hawapewi bali wanastahili kuteuliwa.

Mungi ukifanya hivyo utalaanika.Nikipewa wizara ya Maige nauza Twiga wote nanunua magorofa, na kujenga appartment za kuwalaza akina Lulu
Mkuu pia siku hizi watu wanapewa vyeo bila kupekuliwa ama hata wakipekuliwa upekuzi huo haizingatiwi matokeo yake ndio tunapata vijana na wazee walevi wa kupindukia, waporaji wa mali za umma na kila aina ya ufisadi tena bila aibu. Kuna mtu amelia hapo juu kwamba anawachukia mawaziri vijana kwa kuwa walimpora kimada wake!kimbunga umeweka neno zuri sana vetted, sasa hapa tukiwa na katiba inayolipa bunge nguvu ya kuwavet hawa watu ikiwemo na kuchunguza rekodi yao ya zamani, maisha yao binafsi (uzinzi huu na ulevi, au kupenda makuu na starehe) basi tutapata vijana na wazee wenye kupenda nchi.
Enzi za nyerere kulikua na maadili ya uongozi kutokana na itikadi iliyokuepo, huu mfumo wetu wa kiliberali na itikadi za sasa haziwezi kulea vijana makini. tunahitaji taasisi kuwabana hawa watawala maana yake sheria nyingi nzuri zipo za kuwabana ila zinzdharaulika.. Strong institutions (kama office ya CAG ambaye office yake ni huru akiwa analindwa kazi yake na majaji wa jumuia ya commonwealth) ni muhimu sana. Hawa PCRB,office ya DP, Bunge, Mahakama zikiwa na nguvu hatupati tena hawa akina Masha, Mkulo, Ngeleja hatai na Jk mwenyewe asingekua na dharau hivi na mustakabali wa nchi.. hawa wazungu (IMF, WB) siwaamini kabisa, lakini kwa hili la kumimprove institutional capacity to achieve good governance wako very right.

Kanuni hizo unazoziongelea zimebakwa kwa miaka 17 sasa na wabakaji wakubwa ni vijana. Hivi hujiulizi kwa nini akina Mzee Ntagazwa hawakuwahi kutapeli enzi za ujana wanakuja kupata kesi uzeeni? Enzi za ujana wao kulikuwa na malezi ya kiuongozi. Wasira alikuwa waziri wakati kijana akafanya vizuri sana lakini uwaziri wake wa sasa kukiwa na OMBWE umekuwa wa hovyohovyo tu
Mungi ukifanya hivyo utalaanika.