Baraza jipya: VIJANA Wasichaguliwe Uwaziri

Tafadhali usiseme VIJANA sema VIJANA WA CCM. Kama huko CCM hamna maadili hiyo ni juu yao lakini maeneo mengine kuna maelfu ya vijana wazalendo, waadilifu, na wenye uchungu na nchi yao tofauti na hao mapakashume wa magamba. Nimezingatia kwamba Rais akitaka aweza kumteua mbunge wa chama chochote kushika nafasi ya uwaziri.
 
Umri si tatizo, bali malezi na maadili ndiyo tatizo. Kuna wazee wangapi ambao ni wezi ndani ya serikali?.

Mkapa, Karamagi, Yona, Mramba, Chenge, Lowasa, Rostam, Mboma, Simbo - mkuu wa utawala jeshini je hawa ni vijana?.

Tujenge maadili ya kuwadhibiti, kuwafunga na kuwafilisi mali zao wezi wote wanaoibia serikali yetu. Umri si kigezo hata kidogo.
Mkuu Original this is original. Vijana msidanganywe mkakubali kurudi enzi zile za vijana taifa la kesho. Kama kuna walioharibu suluhu si kukimbilia kwa wazee kwa kuwa wazee nao wameshiriki kwenye huo ufisadi kwa kiwango kikuu. Tatizo vijana wanatumiwa na wazee, wanaingizwa serikalini kulinda maslahi ya watu hawaingii kwa kuwa wana uwezo. Watafutwe wenye uwezo na hakika watatenda kazi na kuwapa watanzania utumishi uliotukuka.
 
Last edited by a moderator:
Tafadhali usiseme VIJANA sema VIJANA WA CCM. Kama huko CCM hamna maadili hiyo ni juu yao lakini maeneo mengine kuna maelfu ya vijana wazalendo, waadilifu, na wenye uchungu na nchi yao tofauti na hao mapakashume wa magamba. Nimezingatia kwamba Rais akitaka aweza kumteua mbunge wa chama chochote kushika nafasi ya uwaziri.
Mkuu unataka SUK kama ya CUF na CCM kule Zanzibar?
 
Zanzibar ni koloni la tanganyika. Ewe mzanzibar shiriki katika harakati za kudai uhuru wa zanzibar-2012 kutoka mikononi mwa watanganyika.
 
uadilifu hauna uhusiano wowote na umri bali background ya muhusika!!
The person with poor background will deliver poor results and the opposite is true for people with good background!
 
tatizo sio vijana au wazee.tatizo tumekua wazito kuwaadabisha wahalifu hivyo kufanya ufisadi mchezo wa kuigana.naamini tungekua siriasi kudhibiti mafisadi na kuwafikisha sehem husika hamna ambaye angekua tayari kufanya ufisadi.
 
Mawazo yangu sio Sheria
Mimi sipotezi mda wa kuwazia Cabinet ya CCM Magamba, wahuni wooote,akili ipo kwenye cabinet ya 2015 kama makamanda watatia timu magogoni. Kujadili cabinet ya CCM ni kujadili future ya mgojwa anayekaribia kukata roho hapa duniani. Nipeni updates za M4C mie nilale natabasamu
 
Mtoa maada Ulukolokwitanga
kwa hiyo kama CDM itachukua nchi, basi unapendekeza vijana kama Zitto,Mbunge wa Ubungo,Lema na vijana wengine wasipewe uwaziri?
Mbona wazee kama Lowasa,Vijisenti au angalia list ya Silaa ya mafisadi ya mwembe Yanga wote ni wazee.
Cha msingi ni kubadili katiba na kuwa nafasi za uwaziri zigombewe na achaguliwe mtu mwenye taaluma na sio kumchagua nani katoka chama gani. Wengi wa hao mawaziri sio wasomi hawaijui taaluma ya wizara zao. Sasa kwa hali ilioko sasa hivi usishangae Lusinde Kibajaji akawa waziri wa sheria
 
Naona unamtafuta ugomvi Makamba kijana, mwenzio ameshakaa mkao wa kupokea li-wizara halafu wewe unasema hayo..
 
Uzoefu wa toka JK ameingia madarakani vijana waliobahatika kupewa uwaziri wamegeuka kuwa genge la majizi na wahujumu uchumi. Lau Masha, Wiliam Ngeleja, Ezekiel Maige, Cyril Chami, Adam Malima, na wengine wametufanya tuamini kuwa vijana wa sasa hawajalelewa katika maadili mema ya uadilifu. Wanaiba wake za watu, wanatembea na wanafunzi, walevi kupindukia huku wizara zao zinaongoza kwa utendaji mbovu na hakuna ufanisi. Mfano wizara ya Ngeleja mgao wa umeme toka ameingia madarakani.

Mimi mtazamo wangu vijana wasipewe uwaziri, wachache wapate unaibu ili tuwachunguze kama wanaweza kuongoza na hawana tamaa. Mimi pia ni kijana lakini naona dhahiri vijana waliopo katika wabunge wa CCM hakuna msaada, wote ni majizi yanayotafuta vijiwe vya kufanyia uhalifu.

Nawakilisha...

Sifa kuu za uongozi ni mbili tu:-UADILIFU(uzalendo) na UWEZO WA KUONGOZA.Hizo sifa za ujana zinazoletwa na Zitto na January mimi nazipinga hadi siku ya kuingia kaburini.
 
Hii nakubali kabisa; ndio maana mimi si muumini kabisa wa "ujana" ni sawa sawa na "uongozi bora". Mifano iko mbele yetu na tukipuuzia tunapoteza haki ya kulalamika. Waachwe vijana wawe wabunge na taratibu waanze kujengwa; waendesha mashirika au makampuni yao n.k.. wapewe watu wenye uzoefu wa kuendesha biashara au shughuli zao kwa umakini na weledi..
Na wewe umeingia mitego wa ubaguzi ghafla??

Tulianza na kabila, tukafika dini, tulishapitia jinsia sasa tuko umri, shame

Hebu niambie tofauti ya ujana wa Mathayo na UZee wa Wasira

Hebu MMM usiniaibishe tafadhali

we have more criteria to use than age.... Nigger please!!!:nono:
 
Uzoefu wa toka JK ameingia madarakani vijana waliobahatika kupewa uwaziri wamegeuka kuwa genge la majizi na wahujumu uchumi. Lau Masha, Wiliam Ngeleja, Ezekiel Maige, Cyril Chami, Adam Malima, na wengine wametufanya tuamini kuwa vijana wa sasa hawajalelewa katika maadili mema ya uadilifu. Wanaiba wake za watu, wanatembea na wanafunzi, walevi kupindukia huku wizara zao zinaongoza kwa utendaji mbovu na hakuna ufanisi. Mfano wizara ya Ngeleja mgao wa umeme toka ameingia madarakani.

Mimi mtazamo wangu vijana wasipewe uwaziri, wachache wapate unaibu ili tuwachunguze kama wanaweza kuongoza na hawana tamaa. Mimi pia ni kijana lakini naona dhahiri vijana waliopo katika wabunge wa CCM hakuna msaada, wote ni majizi yanayotafuta vijiwe vya kufanyia uhalifu.

Nawakilisha...

Mkuu i beg to differ... basi sema na wazee wasichaguliwe, kwani kuna akina kawambwa, mary nagu, prof. maghembe, wasirra, wasirra, wasirra, wasirra, wasirra, mponda, chikawe nk

lets not use cheap divisive indicators, ndizo zinazofanya yule shekhe wa z'bar kubwatuka kusema kwamba wao tu ndio wana kero za muungano ati siye hatuna kero yoyote

ukoo unafahamiana, na hauna umri, jinsia wala nini
 
Tatizo ni kwamba katiba inamkaba JK hata kama angekuwa na dhamira ya kuleta mawaziri bora inatakiwa acheze na pool ya wabunge wa CCM ambayo ukiangalia vijana waliomo mle ni kichekesho. Hata wazee ni wezi, lakini wazee wetu ukiangalia hata wizi wanaoufanya wanaona aibu, tofauti na akina Maige wanaiba mchana kweupe. Mtu kama Omar Nundu ameharibu lakini ukiangalia dhamira yake sio ya kifisadi kabisa... Jana Ngeleja na Malima walikuwa ktk maonesho ya madini, ukiwaangalia walivyotoa macho ya tamaa ungedhani ni majizi mateja ya Kinondoni
 
Hii nakubali kabisa; ndio maana mimi si muumini kabisa wa "ujana" ni sawa sawa na "uongozi bora". Mifano iko mbele yetu na tukipuuzia tunapoteza haki ya kulalamika. Waachwe vijana wawe wabunge na taratibu waanze kujengwa; waendesha mashirika au makampuni yao n.k.. wapewe watu wenye uzoefu wa kuendesha biashara au shughuli zao kwa umakini na weledi..

hao wenye uzoefu ambao the so called WAZEE HAWAIBI?HAWANA KASHFA?
-mungai,
-mramba
-yona
-iddi simba
-ntagazwa
-
 
Tafadhali usiseme VIJANA sema VIJANA WA CCM. Kama huko CCM hamna maadili hiyo ni juu yao lakini maeneo mengine kuna maelfu ya vijana wazalendo, waadilifu, na wenye uchungu na nchi yao tofauti na hao mapakashume wa magamba. Nimezingatia kwamba Rais akitaka aweza kumteua mbunge wa chama chochote kushika nafasi ya uwaziri.

atleast wewe umefafanua kiujana zaidi
 
Mtoa maada Ulukolokwitanga
kwa hiyo kama CDM itachukua nchi, basi unapendekeza vijana kama Zitto,Mbunge wa Ubungo,Lema na vijana wengine wasipewe uwaziri?
Mbona wazee kama Lowasa,Vijisenti au angalia list ya Silaa ya mafisadi ya mwembe Yanga wote ni wazee.
Cha msingi ni kubadili katiba na kuwa nafasi za uwaziri zigombewe na achaguliwe mtu mwenye taaluma na sio kumchagua nani katoka chama gani. Wengi wa hao mawaziri sio wasomi hawaijui taaluma ya wizara zao. Sasa kwa hali ilioko sasa hivi usishangae Lusinde Kibajaji akawa waziri wa sheria
Nakubaliana na wewe kuhusu katiba mpya. Lakini hiyo kwa uchache itaanza kutumika 2015, na JK anatakiwa kuja na baraza jipya hivi karibuni na vijana alionao ndio Lusinde na January Makamba. Kuna Kigwangala aliyejitangaza rasmi kuwa ni mnafiki hawezi kupinga chama chake no matter what!
 
Uzoefu wa toka JK ameingia madarakani vijana waliobahatika kupewa uwaziri wamegeuka kuwa genge la majizi na wahujumu uchumi. Lau Masha, Wiliam Ngeleja, Ezekiel Maige, Cyril Chami, Adam Malima, na wengine wametufanya tuamini kuwa vijana wa sasa hawajalelewa katika maadili mema ya uadilifu. Wanaiba wake za watu, wanatembea na wanafunzi, walevi kupindukia huku wizara zao zinaongoza kwa utendaji mbovu na hakuna ufanisi. Mfano wizara ya Ngeleja mgao wa umeme toka ameingia madarakani.

Mimi mtazamo wangu vijana wasipewe uwaziri, wachache wapate unaibu ili tuwachunguze kama wanaweza kuongoza na hawana tamaa. Mimi pia ni kijana lakini naona dhahiri vijana waliopo katika wabunge wa CCM hakuna msaada, wote ni majizi yanayotafuta vijiwe vya kufanyia uhalifu.

Nawakilisha...

nathani huo ni mtazamo wa CCM.kama ukichunguza utakuta hao vijana wameambukizwa na mfumo mzima wa mawaziri wazee wa kila mtu kuwahi chake mapema.tizama maandalizi ya vijanawa CCM katika UVCCM wanaandaliwa kwa ulaji na si uzalendo wa nchi yao.makundi na matatizo mengi yanaanziaga UVCCM,vijana wanaoandaliwa kuja kuwa viongozi wengi wanashikwa mkono na viongozi wakubwa wa CCM kwaajili ya kulinda maslahi yao.hatuwezi pata viongozi wazuri wenye uzalendo katika mfumo wa umimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom