Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri la Kikwete kuwa kama hili hapa?

SURA ZA ZAMANI KURUDI

1. Waziri Mkuu Mizengo Pinda/Edward Lowasa
2. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe
3. John Magufuli (atapewa Wizara ya Miundombinu au nyingine muhimu)
4. John Mkuchika (swahiba wa Kikwete)
5. Prof. Mark Mwandosya
6. Dr Hussein Mwinyi
7. Prof. David Mwakyusa
8. Dr Shukuru Kawambwa (swahiba wa Kikwete)
9. Prof. Juma Kapuya (swahiba wa Kikwete)
10. Dr Mary Nagu
11. Dr. Mathayo David Mathayo (Waziri wa Kilimo)
12. John Chiligati
13. Khamis Kagasheki
14. Lucy Nkya
15. Mustafa Mkulo
16. Hawa Ghasia
17. Sofia Simba
18. Mathias Chikawe
19. Omar Yusuf Mzee
20. William Ngeleja

SURA MPYA chache

1. Prof. Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi au Maliasili/Utalii)
2. January Makamba (naibu waziri foreign au afrika mashariki, baadaye kuwa full minister. Ndiye anayemkaririsha JK kuhutubia mikutano)
3. Anne Makinda (full minister iwapo atakosa kuwa spika)
4. Lazaro Nyalandu (naibu waziri, swahiba wa jk)
5. Athuman Rashid Futakamba
6. Zakia Meghji (asante yake kwa kuchangisha pesa za kampeni za CCM)
7. Amos Makala (naibu waziri)
8. Mbunge wa kuteuliwa1 ( Batilda Buriani/Salma Kikwete)
9. Mbunge wa kuteuliwa2 ( Rita Mlaki/Riziwani Kikwete)
10. Mbunge wa kuteuliwa3 ( Monica Mbega/Efrem Kibonde)
Soma maandishi mekundu.
CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

Source: Tetesi za maofisa serikalini[/QUOTE]
 
The informer/informed

kwenye hiyo list ya mawaziri wamani... kuanzia namba saba hadi mwisho sioni mwenye sifa za kurudi, labda uswahiba

Kwangu mwakyusa was the worst
 
Cabinet mpya hii hapa

Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa baraza lake la mawaziri na kuwa na watu takribani 40 badala ya 60.

Ifuatayo ni orodha ya mawaziri wake watarajiwa.

SURA ZA ZAMANI KURUDI

1. Waziri Mkuu Mizengo Pinda
2. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe
3. John Magufuli (atapewa Wizara ya Miundombinu au nyingine muhimu)
4. John Mkuchika (swahiba wa Kikwete)
5. Prof. Mark Mwandosya
6. Dr Hussein Mwinyi
7. Prof. David Mwakyusa
8. Dr Shukuru Kawambwa (swahiba wa Kikwete)
9. Prof. Juma Kapuya (swahiba wa Kikwete)
10. Dr Mary Nagu
11. Dr. Mathayo David Mathayo (Waziri wa Kilimo)
12. John Chiligati
13. Khamis Kagasheki
14. Lucy Nkya
15. Mustafa Mkulo
16. Hawa Ghasia
17. Sofia Simba
18. Mathias Chikawe
19. Omar Yusuf Mzee
20. William Ngeleja

SURA MPYA chache

1. Prof. Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi au Maliasili/Utalii)
2. January Makamba (naibu waziri foreign au afrika mashariki, baadaye kuwa full minister)
3. Anne Makinda (full minister iwapo atakosa kuwa spika)
4. Lazaro Nyalandu (naibu waziri, swahiba wa jk)
5. Athuman Rashid Futakamba
6. Zakia Meghji (asante yake kwa kuchangisha pesa za kampeni za CCM)
7. Amos Makala (naibu waziri)
8. Mbunge wa kuteuliwa1
9. Mbunge wa kuteuliwa2
10. Mbunge wa kuteuliwa3

CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

Source: Tetesi za maofisa serikalini

mkuu one person is missin!dear cousin masha.
 
John Mkuchika au George Mkuchika????
 
Na lowassa je? Mzee wa kushawishi wajumbe wa kamati kuu kufanya maamuzi yasiyokuwepo vichwani mwao.

Kwa taarifa yenu lowassa, rostam, zakia meghji ndio watu wenye ushawishi mkubwa kwenye halmashauri kuu na kamati kuu ya ccm. Na hii ni kwa sababu wanafedha ya kuhonga wajumbe.

Rostam; anamiliki 35% ya hisa vodacom, anashare barick tanzania, migodi yote mikubwa tanzania mitambo inyotumika ni ya kwake anakodisha kwa makampuni. Unategemea nini toka kwake?? Yupo pale kwa mashlahi ya bishara zake na za wahindi wenzake.

The guy is very inteligent anajua move yeyote yenye mabadiliko katika nchi inaanzia bungeni na ndio mahali anaweza kuonana na kila waziri na kila mbunge ili aweze kufanya mambo yake.

Dawa ni kuhakikisha anakosa ubunge then tunamuondoa kwenye system kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwizi mkubwa wa rasilimali za nchi yetu huyu jamaa.
 
Umewasahau Prof. Peter Msola, Edward Lowassa, RC Dar, Mama Salma, Vicky Kamata, Mahanga, Koka, Komba, Jenista, Nchimbi, Tom Mwang'onda, Mpesya
 
Nasikia yuko hoi nyumbani kwake boko. Huyu mama alikuwa "chakla" ya "MUZEE". its no wonder watu wanaanguka hovyo hovyo
hahaa nasikia anaongea na mwandishi wa mwananci last week analalamika anataka serikali imsaidie kutibiwa.hahaaa hivi hanaga namba ya JK
 
Na lowassa je? Mzee wa kushawishi wajumbe wa kamati kuu kufanya maamuzi yasiyokuwepo vichwani mwao.

Kwa taarifa yenu lowassa, rostam, zakia meghji ndio watu wenye ushawishi mkubwa kwenye halmashauri kuu na kamati kuu ya ccm. Na hii ni kwa sababu wanafedha ya kuhonga wajumbe.

Rostam; anamiliki 35% ya hisa vodacom, anashare barick tanzania, migodi yote mikubwa tanzania mitambo inyotumika ni ya kwake anakodisha kwa makampuni. Unategemea nini toka kwake?? Yupo pale kwa mashlahi ya bishara zake na za wahindi wenzake.

The guy is very inteligent anajua move yeyote yenye mabadiliko katika nchi inaanzia bungeni na ndio mahali anaweza kuonana na kila waziri na kila mbunge ili aweze kufanya mambo yake.

Dawa ni kuhakikisha anakosa ubunge then tunamuondoa kwenye system kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwizi mkubwa wa rasilimali za nchi yetu huyu jamaa.

atateuliwa tu..CCM ni majizi we acha kabisa
 
mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya.
jamani hii ni chupa sio chupi!!!

Pia mmewasahahu Mawaziri wengine Kuna Dr. Deodorous Kamala. Huyu atapewa TAMISEMI.Pia Ridhiwani atakuwa mbunge wa kuteuliwa na atakuwa naibu waziri!!!!! mtaniambia. Nikisema hivi msidhanie mie ni ndugu yake Salva Rweyemamu wa ikulu, la hasha, lakini hizi ni tetesi tuu
 
Cabinet mpya hii hapa

Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa baraza lake la mawaziri na kuwa na watu takribani 40 badala ya 60.

Ifuatayo ni orodha ya mawaziri wake watarajiwa.

SURA ZA ZAMANI KURUDI

1. Waziri Mkuu Mizengo Pinda
2. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe
3. John Magufuli (atapewa Wizara ya Miundombinu au nyingine muhimu)
4. John Mkuchika (swahiba wa Kikwete)
5. Prof. Mark Mwandosya
6. Dr Hussein Mwinyi
7. Prof. David Mwakyusa
8. Dr Shukuru Kawambwa (swahiba wa Kikwete)
9. Prof. Juma Kapuya (swahiba wa Kikwete)
10. Dr Mary Nagu
11. Dr. Mathayo David Mathayo (Waziri wa Kilimo)
12. John Chiligati
13. Khamis Kagasheki
14. Lucy Nkya
15. Mustafa Mkulo
16. Hawa Ghasia
17. Sofia Simba
18. Mathias Chikawe
19. Omar Yusuf Mzee
20. William Ngeleja

SURA MPYA chache

1. Prof. Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi au Maliasili/Utalii)
2. January Makamba (naibu waziri foreign au afrika mashariki, baadaye kuwa full minister)
3. Anne Makinda (full minister iwapo atakosa kuwa spika)
4. Lazaro Nyalandu (naibu waziri, swahiba wa jk)
5. Athuman Rashid Futakamba
6. Zakia Meghji (asante yake kwa kuchangisha pesa za kampeni za CCM)
7. Amos Makala (naibu waziri)
8. Mbunge wa kuteuliwa1
9. Mbunge wa kuteuliwa2
10. Mbunge wa kuteuliwa3

CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

Source: Tetesi za maofisa serikalini

Mkuu fafanua hapo ni boxer au chupi?
 
Heshima kwako Informer,

Mkuu baraza la mawaziri haliwezi kukamilika bila Ole Medeye na Sumari kuwepo utakuja niambia mimi mchawi subiri ujionee mwenyewe.
 
The informer/informed

kwenye hiyo list ya mawaziri wamani... kuanzia namba saba hadi mwisho sioni mwenye sifa za kurudi, labda uswahiba

Kwangu mwakyusa was the worst

Kinachoboa kuhusu Mwakyusa ni kwamba the guy is an academic. He has seen how health systems can be strengthen. He has published papers, ana mashule yote yanayohitajika. And still, he can't deliver.

Makes me wonder, maybe there is something wrong in our government that we don't know. Afterall Chenge is Harvard Law, Daudi Balali ana shule kali tu. Na wote wametuangusha.
 
mwantumu mahiza atamteua mbunge na kumpa uwaziri, alikuwa bega kwa bega na mama salma wakati wa kampeni baada ya kuangushwa kura za maoni CCM
 
Back
Top Bottom