Baraza jipya la Mawaziri kujulikana Feb 12

Source: Shirika la utangazaji Tanzania
Kwa mujibu wa matangazo ya RTD, JK amewaita wale wote walioteuliwa na amekuwa na kikao cha siri na waheshimiwa hao hili kuwapa msimamo wa serikali mpya. tusubiri taarifa zaidi
 
Kwa maana hiyo wameshajulikana! Sasa mtandao wa JF tuleteeni majina jamani. Kwa wale ambao wako jikoni.

Sifa kubwa ya JF ni kusoma alama za nyakati na kuwa wa kwanza kujua kabla watu wengine hawajajua. We are always the fist to know.
 
Sikilizeni atakachosema JK siku ya kuwaapisha au baada ya kuwatangaza. Ana ujumbe ambao siyo tu utawashtua watu, kuna baadhi ya watu itabidi wasikie kiwewe. Suala lake la maadili ya viongozi limeanza na uteuzi huu ndio maana imebidi iwe kama inavyokuwa... hawa masikini wa Mungu hawatacheka cheka wakiapishwa maana standard wanayopewa mmh.. nawaonea huruma hapa ndipo atakapoibuka Banguselo wa kweli..! wacha nilale kabla hawanisquash kwenye kuta zao..

one more thing.. what Pinda wants, pinda gets!! nimeanza kumheshimu...
 
Source: Shirika la utangazaji Tanzania
Kwa mujibu wa matangazo ya RTD, JK amewaita wale wote walioteuliwa na amekuwa na kikao cha siri na waheshimiwa hao hili kuwapa msimamo wa serikali mpya. tusubiri taarifa zaidi
Kama unaweza fuatilia kwa karibu barabara ya TAMISEMI,niambie nani na nani wameingia hapo.Lunyungu bado uko Dodoma??
 
Sikilizeni atakachosema JK siku ya kuwaapisha au baada ya kuwatangaza. Ana ujumbe ambao siyo tu utawashtua watu, kuna baadhi ya watu itabidi wasikie kiwekiwe. Suala lake la maadili ya viongozi limeanza na uteuzi huu ndio maana imebidi iwe kama inavyokuwa... hawa masikini wa Mungu hawatacheka cheka wakiapishwa maana standard wanayopewa mmh.. nawaonea huruma hapa ndipo atakapoibuka Banguselo wa kweli..! wacha nilele kabla hawanisquash kwenye kuta zao..

one more thing.. what Pinda wants, pinda gets!! nimeanza kumheshimu...

Mzee Mwanakijiji,Kijijini leo Mapema?haya bwana umeamua Kujiunga nayo?
 
"Utamu wa Siasa Speculations" (mwanakijiji, Feb 2008)

hiyo mzee mwenzangu imetulia............hahahah!!

.........JF safari hii tukubali hatuna breaking News.........hakuna cha leak wala nini..........wote tusubiri wakati ukifika
 
Kama unaweza fuatilia kwa karibu barabara ya TAMISEMI,niambie nani na nani wameingia hapo.Lunyungu bado uko Dodoma??


Hi Gembe I am right here in Dodoma .Hali ni ngumu na kila kona najaribu lakini kila mtu mdomo umeshonwa au ukimpigia simu anasema baadaye .So is hard hard hard sikati tamaa hata shati nimevua nimevaa fulana maana joto ni kali mno .

Mwanakijii unacho kisema nimekubaliana nawe .Joto ni kali .
 
Hi Gembe I am right here in Dodoma .Hali ni ngumu na kila kona najaribu lakini kila mtu mdomo umeshonwa au ukimpigia simu anasema baadaye .So is hard hard hard sikati tamaa hata shati nimevua nimevaa fulana maana joto ni kali mno .

Mwanakijii unacho kisema nimekubaliana nawe .Joto ni kali .

Lunyungu kaza buti mzee tupate nyeti angalau. Leo zege halilali. Lazima kieleweke.
 
kuna nyimbo moja ya bongo flava inanikumbusha mengi


inasema nitoke vipi mengi nnajiulizaaa


ndio mchezo anaotumia mwenzetu haapa.

sawa ushapata jawabu na njia ya kutokea
 
Haya mambo ya kusema anawaweka sana ni usanii mtupu. Alipoteza pesa zetu kufanya workshop ya mawaziri na wakuu wa mikoa Arusha matokeo yake hatujayaona zaidi ya balaza bomu kuliko yote yaliyowahi kutokea TZ. Actually tatizo la nchi hii ni yeye mwenyewe kutokuwa na uelewa mkubwa!!!
 
yaani safari hii hata JF tunasubiri RTD au TVT?hakuna hata zilizoingia punde kabla yao?
 
Lunyungu Jaribu kumpigia Waziri Mmojwapo anyemwagwa ayakupa kila kitu,Watu naowafahamu wote hawanipi ishu sababu najua wamo katika baraza hilo na wanazibwa mdomo na Muungwana.Mtafute Mheshimiwa seleli..atakupa majina tu.

M.M.M cheki PM yako
 
Hivi tumefika mahali kuamini kirahisi kwamba JK ataleta mabadiliko ya kweli, anyway sijui? maana record yake inamdefeat. Kuna nini jipya kama washauri ni walewale Kingunge, Malecela, Mzee Ruksa etc.??????????? Dodoma ni ile ile, chamwino ni ile ile, na mbaya tena zaidi JK ni yule yule na usanii ule ule............. Let's wait and seeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Watu wengine kwa kupenda cheap popularity!!!

Watu wote tuna tetesi tu na hatuna uhakika, maana JK na Pinda ndio wanaojua, inawezekana mtu alipigiwa simu lakini sio confirmation ya uwaziri.

Bado hali ni siri sana!

Achaneni na hawa wanaopenda cheap popularity.
 
Back
Top Bottom