Baraza Jipya la Mawaziri kama lilivyotangazwa na Rais Kikwete leo (kwa Kifupi);

Tunapaswa kuelewana kwanza jamani. Siyo BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI bali ni MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI. Nasema kuwa siyo jipya kwakuwa halikuvunjwa bali ni lile lile tu limewekewa viraka pale ambapo lilikuwa limetoboka!!!!
 
Naomba msaada kwa anaejua anisaidie majukum ya ya nyazifa hizi mbili. (1) makam wa rais na Maziri mkuu. Kwa mfuma wa hapa tz kazi zao ni zipi?
 
Ni kweli kwamba JK kabadili mawaziri! Hatukatai , Lakini mtu ukitizama vizuri sioni cha Maana maana kuna wabovu bado kawabakisha mathalani NCHIMBI!!!=0, Mkuchika=00, Malima=0, Ghasia=00,Kombani washeria=000....Yaani!!! Afu unamtoa mdebwedo mambo ya kwenye nyuma unampeleka Ujemedari=00000, Duh! HII NI KAMA TIMU YA MPIRA INATOA NJE WACHEZAJI WALIOCHEZA CHINI YA KIWANGO INAINGIZA MAJERUHI!!! Tujipe moyo!
 
kama nilielewa vizur jk alisema kuwaajibisha wale wote ambao wamehusika katika ubadhirifu ila kuhusu adhabu ya mawaziri sikumuelewa
yaaani wale wote waliosababisha akawamwaga vipenzi vyake, basi nao hawatapona ! Gharama ya mawaziri ni kuwa nje baasi ! Ngoja tuone wachezaji wapya kama watapiga tick taka bila mataulo kudondoka !
 
Back
Top Bottom