Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

jana nilipata matumaini baada ya kusoma post ya mwanakijiji kwamba cabinet mpya itakuwa like special forces (SEAL,etc).In military context,hawa sio hata jeshi la mgambo bali ni mithili ya mungiki huko kenya.only hope inabaki kwa kilango,dr chegeni,seleli,simbachawene,etc wakaze buti wakati wa mjadala wa BOT/EPA ili HATIMAYE CHENGE ALAZIMIKE KUJIUZULU MWENYEWE maana JK Hana ubavu wa kumtoa msiri wake.
 
kwa kweli Nimekaribia kuzimia kwa Furaha kwa Msolla kukaa mbali na Elimu ya juu.Pia waziri mwenye kiburi na fisadi Basil Mramba kutupwa nje.Now it is a good move.JK hapo umefanya kazi ingawa pia umechemka baadhi ya wizara fulani hivi

Lakini MSOLLA kapelekwa kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa watz wengi. Na huko anaenda kuharibu na njaa itakuwa kila mwaka. Hiyo wizara naona waziri na naibu wote useless tusitegemee cha maana.
 
There are good and bad news here. The good news is that this cabinet is likely to be less scandalous in plundering our money. The bad news is that this is going to be the most incompetent cabinet we have ever had since our country got independence. The result at the end of the day: incosequential. Once again we are reminded here that the outcome will always reflect the means through which such outcomes were obtained in the first place. Clearly, JK could not afford to distance himself from the means that enabled him to obtain finances for his lavish and scandalous campaign.

PS: Inaonekana JK hata hakuwahi kusoma report ya kile kilicholetekeza wizara ya elimu na elimu ya juu kutenganishwa. Angesoma hata utangulizi wake tu asingezirudisha wizara hizi kuwa pamoja hasa kwa kipindi hiki ambako mahitaji na matakwa ya wizara hizi hayashabihiani.
 
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NI:

6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA STEVEN WASIRA na SELINA KOMBANI

10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE NAIBU GAUDENSIA KABAKA na MWANTUMU MAHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MSOLA NAIBU MATHAYO DAVID MATHAYO

19. WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO JOHN POMBE MAGHUFULI NA MANAIBU NI
WANYANCHA

NA MALI ASILI ni SHAMSHA MWANGUNA NAIBU EZEKIEL MAIGE
 
May be skendo ya IPTL ambayo JK inasemekana alikuwa waziri wa Nishati Chenge alikuwa ni mwanasheria mkuu na alimsaidia.

Nchibi yeye inasemekana ni mkurugenzi wa ufundi (Uchawi) wa JK!!!!

....Mkurugenzi wa ufundi ni Ghasia!!
 
Updated list
Baraza jipya la mawaziri ni kama lifuatalo:

1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora)-Sofia Simba
2. Ofisi ya rais (Menejimenti ya Umma)-Hawa Ghasia
3. Wizara ya Shughuli za Muungano-Mohamed Seif Khatib
4. Wizara ya Mazingira- Dr. Batilda Buriani
5. Wizara ya Maliasili na Utalii- Shamsa Mwangunga
6. Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Sera na Uratibu wa Bunge)- Philip Marmo
7. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Steven Wassira
8. Wizara ya Fedha-Mustafa Mkullo
9. Wizara ya Afya -Profesa David Mwakyusa
10. Wizara ya Ardhi- John Chiligati
11. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi- Prof. Jumanne Maghembe
12. Wizara ya Sayansi na Teknolojia – Dr Shukuru Kawamba
13. Wizara ya Miundombinu- Andrew Chenge
14. Wizara ya Utamaduni na Michezo- George Mkuchika
15. Wizara ya Kazi na Ajira- Prof. Juma Kapuya
16. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Prof. Mark Mwandosya
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Peter Msolla
18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Margareth Sitta
19. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - John Magufuli
20. Wizara ya Mambo ya Ndani- Lawrence Masha
21. Wizara ya Mambo ya Nje-Bernard Membe
22. Wizara ya Nishati na Madini-William Ngeleja
23. Wizara ya Sheria -Martin Chikawe
24. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Dr Hussein Mwinyi
25. Wizara ya Afrika Mashariki Dr. D. Kamala
26. Wizara ya Biashara na Masoko-Dr Mary Nagu

Deputy Ministers

1. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Gaudensia Kabaka na Mwatumu Mahiza
2. Wizara ya Kazi na Ajira- Hezekia Chibulunje
3. Wizara ya Biashara na Masoko -Cyril Chami
4. Wizara ya Fedha- Jeremiah Sumari na Omari Yusuf Mzee
5. Wizara ya Afya- Aisha Kigoda
6. Wizara ya Sayansi na Teknolojia –Dr Maua Daftari
7. Wizara ya Miundombinu- Dr. Makongoro Mahanga
8. Wizara ya Utamaduni na Michezo- Joel Bendera
9. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Christopher Chiza
10. Wizara ya mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Dr Lucy Nkya
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Dr Joseph Wanyancha
12. Wizara ya Maliasili na Utalii -Ezekiel Maige
13. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamisi Kagasheki
14. Wizara ya Mambo ya Nje-Balozi Seif Ali Iddi
15. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Emannuel Nchimbi
16. Wizara ya Nishati na Madini-Adam Malima
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Mathayo David Mathayo
18. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Celina Kombani
 
jana nilipata matumaini baada ya kusoma post ya mwanakijiji kwamba cabinet mpya itakuwa like special forces (SEAL,etc).In military context,hawa sio hata jeshi la mgambo bali ni mithili ya mungiki huko kenya.only hope inabaki kwa kilango,dr chegeni,seleli,simbachawene,etc wakaze buti wakati wa mjadala wa BOT/EPA ili HATIMAYE CHENGE ALAZIMIKE KUJIUZULU MWENYEWE maana JK Hana ubavu wa kumtoa msiri wake.

wewe hujamjuaga tu MKJJ? Huwa anajipa matumaini hewa na wakati mwingine anapandisha midadi kiasi kwamba anaweza akakufanya ujue kwamba sasa ndiyo basi, mambo ni mazito! Sasa tazama pamoja na petition yake ya mwaka mzima, Msola bado yupo ndani ya nyumba!
 
Kwa upande wangu sikuwa dissapointed na hili baraza kwa sababu tangia mwanzo sikuwa na mategemeo ya kitu kipya. Kifupi I had no legitimate expectations kwamba JK will make a meaningful changes. Kuna wale watakofikiri kwamba tunaponda tuu hatusemi mazuri kwa muungwana, lakini ukweli unabaki pale pale na wengine tunaandika hapa simply because hawa mawaziri wanalipwa kodi zetu na wengi wao utendaji wao tunaufahamu. We are the ultimate victims of their incompetence and hopeless decisions. A person like Chenge sioni lolote alilolifanya..a simple test ya barabara ya Sam Nujoma ambayo ni KM hazifiki tano mpaka leo inaingia mwaka wa tatu haijaisha...sasa jamani ataweza kutengeneza ya Lusahunga to Kasulu/Kibondo? ambako sidhani kama ameshawahi hata kufika?, si Raisi anatudanganya? au?

Well, he knows better as he or his apologetics would want us to believe, but if this is the so called "dream team" I honestly dont see any hope for the future! Mwinyi ni daktari..leo yuko Ulinzi..kweli with critical shortage ya madaktari are we not under ustilizing the little we have for political expediency? You guys, Kikwete has had enough experience to know this...we are no longer in the age of trial and error! JK ought to be more serious.

And it seems we dont have consistency in governance..though we had had the same ruling party...this is the man who came to power and established gazillion of ministries...only to find out that it was a futile decisions (he wanted to reward his people?)..sasa leo anazifuta some of those wizara..vipi kuhusu policies ambazo wameshaanza kutengeneza na mengineyo....Jamani sijui when shall we really start working for this country, maana naona kila kiongozi yuko kwenye majaribio..

The good side I see is the exclusion of Meghji, Mwapachu, Mramba, Diallo ET AL! And perhaps with Magufuli incharge of our fish pale home (mwanza)..we are not going to eat MAPANKI anymore..Lol!

By the way Mwanakijiji is Masha a "Dr" I know is the LL.M graduate from Georgetown! When and where did he get his udokta? (atleast this was a more sensible appointment...)

NB: Tuweke CV za hawa wateule tuzichambue na kuangalia record zao....(kwa wale ambao hatuwajui....)
 
Alichofanya MH. Rais ni kupunguza idadi ya wawaziri (lidandasi)kutoka 61 hadi takriban 45 ( according to mkjj version)

Hii angalau tu ni habari njema.

Ritta mama rudi tu back bencha uungane na Kilango
 
PS: Inaonekana JK hata hakuwahi kusoma report ya kile kilicholetekeza wizara ya elimu na elimu ya juu kutenganishwa. Angesoma hata utangulizi wake tu asingezirudisha wizara hizi kuwa pamoja hasa kwa kipindi hiki ambako mahitaji na matakwa ya wizara hizi hayashabihiani.

Mkuu Kitila

Nasikia yeye kaona shule ni shule tu hana haja ya kufanya uchunguzi.

Je vipi nchi nyingine zinafanya je kuhusu hili labda tupate pia mawazo ya nchi zilizo endelea na zinazoendelea(Zinazofanya vizuri) kuhusu suala la Elimu kwa ujumla.

Pia kuanzia sasa nafikiri Wabunge inabidi waone hili, suala la muundo wa Wizara linahitaji kuwa la kikatiba siyo suala la kujadiliana na wanasiasa siku moja/mbili na kupata muafaka.
 
Yaani JK hakumuonea huruma Mchungaji Rwakatare kasacrifice Elimu Mbingu (Dini) kajitupa kwenye Elimu dunia (Siasa),.

Back to Baraza kamili - Sometimes inabidi tukubali kwamba JK alikuwa na wakati mgumu sana kupanga Baraza hili. Sababu ni kwamba lazima achukue hao hao Wabunge wa Chama tawala na sio nje ya hapo. Hawezi kwenda na kumchukua mtu baki nje ya Bunge na pia hawezi kuchukua toka vyama vya upinzani, may be na yeye angependa kuchukua nje ya wabunge wake, ila sheria kikatiba hazimruhusu. Sidhani katika wakati kama huu angependa tena kuharibiwa kazi kwa namna yeyote ile, (Better safe than sorry)unless otherwise.Vile lazima kuwepo na Wizara, basi amepangua pangua katika hao hao alio nao (labda kwa kuangalia nani ana nafuu kuliko mwenzake kwa vigezo anavyojua yeye na washauri wake), na uwezo wake kuishia hapo.

Labda vile bado report ya skendo zingine zipo mbioni (BOT na unknowns), angeunda baraza la muda huku akisikilizia na kuangalia utendaji wa hao aliokwisha wachagua tayari.

Any way, Ni mawazo tu.
 
Updated list
Baraza jipya la mawaziri ni kama lifuatalo:

1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora)-Sofia Simba
2. Ofisi ya rais (Menejimenti ya Umma)-Hawa Ghasia
3. Wizara ya Shughuli za Muungano-Mohamed Seif Khatib
4. Wizara ya Mazingira- Dr. Batilda Buriani
5. Wizara ya Maliasili na Utalii- Shamsa Mwangunga
6. Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Sera na Uratibu wa Bunge)- Philip Marmo
7. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Steven Wassira
8. Wizara ya Fedha-Mustafa Mkullo
9. Wizara ya Afya -Profesa David Mwakyusa
10. Wizara ya Ardhi- John Chiligati
11. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi- Prof. Jumanne Maghembe
12. Wizara ya Sayansi na Teknolojia – Dr Shukuru Kawamba
13. Wizara ya Miundombinu- Andrew Chenge
14. Wizara ya Utamaduni na Michezo- George Mkuchika
15. Wizara ya Kazi na Ajira- Prof. Juma Kapuya
16. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Prof. Mark Mwandosya
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Peter Msolla
18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Margareth Sitta
19. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - John Magufuli
20. Wizara ya Mambo ya Ndani- Lawrence Masha
21. Wizara ya Mambo ya Nje-Bernard Membe
22. Wizara ya Nishati na Madini-William Ngeleja
23. Wizara ya Sheria -Martin Chikawe
24. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Dr Hussein Mwinyi
25. Wizara ya Afrika Mashariki Dr. D. Kamala
26. Wizara ya Biashara na Masoko-Dr Mary Nagu

Deputy Ministers

1. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Gaudensia Kabaka na Mwatumu Mahiza
2. Wizara ya Kazi na Ajira- Hezekia Chibulunje
3. Wizara ya Biashara na Masoko -Cyril Chami
4. Wizara ya Fedha- Jeremiah Sumari na Omari Yusuf Mzee
5. Wizara ya Afya- Aisha Kigoda
6. Wizara ya Sayansi na Teknolojia –Dr Maua Daftari
7. Wizara ya Miundombinu- Dr. Makongoro Mahanga
8. Wizara ya Utamaduni na Michezo- Joel Bendera
9. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Christopher Chiza
10. Wizara ya mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Dr Lucy Nkya
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Dr Joseph Wanyancha
12. Wizara ya Maliasili na Utalii -Ezekiel Maige
13. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamisi Kagasheki
14. Wizara ya Mambo ya Nje-Balozi Seif Ali Iddi
15. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Emannuel Nchimbi
16. Wizara ya Nishati na Madini-Adam Malima
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Mathayo David Mathayo
18. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Celina Kombani

Naona hii list iko updated. Ila wizara nyingine zilipashwa kuunganishwa tena kama utamaduni na michezo ilistahili kukaa sawa na Elimu. Sayansi na techolojia bado anafanya ni majaribio naona.
 
Msola na Chenge wamerudishwa sababu ya kutopoteza ushahidi wa ripoti za mkataba inayofuata kujadiliwa ikiwemo ya BOT,watajiondoa wenyewe tu.JK anajua yote hayo yanayoendelea.
Ngoja tusubiri....
 
Updated list
Baraza jipya la mawaziri ni kama lifuatalo:

1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora)-Sofia Simba
2. Ofisi ya rais (Menejimenti ya Umma)-Hawa Ghasia
3. Wizara ya Shughuli za Muungano-Mohamed Seif Khatib
4. Wizara ya Mazingira- Dr. Batilda Buriani
5. Wizara ya Maliasili na Utalii- Shamsa Mwangunga
6. Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Sera na Uratibu wa Bunge)- Philip Marmo
7. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Steven Wassira
8. Wizara ya Fedha-Mustafa Mkullo
9. Wizara ya Afya -Profesa David Mwakyusa
10. Wizara ya Ardhi- John Chiligati
11. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi- Prof. Jumanne Maghembe
12. Wizara ya Sayansi na Teknolojia – Dr Shukuru Kawamba
13. Wizara ya Miundombinu- Andrew Chenge
14. Wizara ya Utamaduni na Michezo- George Mkuchika
15. Wizara ya Kazi na Ajira- Prof. Juma Kapuya
16. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Prof. Mark Mwandosya
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Peter Msolla
18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Margareth Sitta
19. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - John Magufuli
20. Wizara ya Mambo ya Ndani- Lawrence Masha
21. Wizara ya Mambo ya Nje-Bernard Membe
22. Wizara ya Nishati na Madini-William Ngeleja
23. Wizara ya Sheria -Martin Chikawe
24. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Dr Hussein Mwinyi
25. Wizara ya Afrika Mashariki Dr. D. Kamala
26. Wizara ya Biashara na Masoko-Dr Mary Nagu

Deputy Ministers

1. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Gaudensia Kabaka na Mwatumu Mahiza
2. Wizara ya Kazi na Ajira- Hezekia Chibulunje
3. Wizara ya Biashara na Masoko -Cyril Chami
4. Wizara ya Fedha- Jeremiah Sumari na Omari Yusuf Mzee
5. Wizara ya Afya- Aisha Kigoda
6. Wizara ya Sayansi na Teknolojia –Dr Maua Daftari
7. Wizara ya Miundombinu- Dr. Makongoro Mahanga
8. Wizara ya Utamaduni na Michezo- Joel Bendera
9. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Christopher Chiza
10. Wizara ya mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Dr Lucy Nkya
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Dr Joseph Wanyancha
12. Wizara ya Maliasili na Utalii -Ezekiel Maige
13. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamisi Kagasheki
14. Wizara ya Mambo ya Nje-Balozi Seif Ali Iddi
15. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Emannuel Nchimbi
16. Wizara ya Nishati na Madini-Adam Malima
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Mathayo David Mathayo
18. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Celina Kombani

Mpaka sasa majina ya Wizara hayajatulia!!!

3 & 4. Ziko chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais.

12. Wizara ya Sayansi, Technologia na Mawasiliano... wizara hii inabebwa na mawasiliano

23. Wizara ya Sheria na Katiba

7. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Steven Wassira (hii iko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu)

Maswali...

(i)Je Vijana wako wizara ipi... Jinsia au Michezo na Utamaduni?(ii)Ustawi wa Jamii umewekwa wapi? kwenye afya au Jinsia
 
Mzee Mwanakijiji;140769]Ifuatayo ndiyo orodha sahihi ya Baraza la Mawaziri na Majina Sahihi ya Wizara zao.

4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. BATILDA BURIANI

19. MALIASILI NA UTALII WAZIRI NI SHAMSA MWANGUGA NAIBU EZEKIEL MAIGE

Mzee hapo umeniacha hizo ni wizara 2 tofauti au mie tu macho yangu...
 
baraza Halipo Balanced ...angalia Wizara Muhimu Kama Za Ikulu...,elimu,fedha Ets..

Huyu Mama Sofia Anaweza Mambo Ya Ut Na Kupambana Na Rushwa??

Mchanganyiko Wa Wizara Haueleweki!!!!

Pamoja Na Kuwa Namsifu Kwa Kuwaondoa Mawaziri Mafisadi ....lakini Bado Siamini Kama Hili Chaguo Lake Linaweza Kuwa Dream Team Ya Kutuvusha.....!!!
 
A very big disappointment! A very good opportunity to raise his credibility that was not used accordingly.
 
Wapinzani hii ni neema inabidi kujipanga vizuri maana tumeshaona timu ya adui kuwa wanamajeruhi wengi sana hivyo 2010 matokeo ni

UPINZANI 4 : CCM 0

Ila yafaa muunganishe vyama kutoa mgombea tutawapeni kura

Kila ra kheri
 
Nahisi usingizi!!ngoja tu nikalale.Ila hongera Mama Kabaka.Naona Butimba ilikukomaza kwelikweli
 
Back
Top Bottom