Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Ah watangaze au wasitangaze, kwa mfumo huu wa CCM na katiba hii hakuna faida ýoyote ya kuwa na Baraza la Mawaziri kwani kila mtu yupo kwa maslahi yake tu!
Matarese, hata kama ni kweli kila mtu yuko kwa faida yake, hiyo faida yake si ndiyo faida yenyewe?!, acha watu wapate ulaji, sikilizia majina!.
 
tunasubiri hapo tuone kama lunch itapanda au vinginevyo............
 
Nipo live apa na TBC ila kwa hii kashfa ya EL via Raia Mwema unaweza kuta wamelipga vita leo ili gazeti ili ijulikane JK hakuwa aware ili amweke EL kwa baraza
 
Thanks Pasco

Binafsi naheshimu sana mchango wako

Saa sita ndiyo hiyo
Asante Baba-Enock, huwezi amini jinsi ninavyoipenda hii kazi ya uandishi, ni njaa tuu ndio imenikimbiza, na kwa vile naelekea kuwa fiti, nitarudi kuifanya kwa mapenzi tuu, bila kutegemea hata senti moja kwenye fani hii.
 
hivi tunasubiri kwa hamu, hao mabinamu, ma girl friend, mashosti na washikaji wa mkwere, simo
 
ngoja nitoe macho nione kama kuna jipya kwa sababu kawaida ya JK ni ngumu kutofautisha waadilifu na mafisadi. pia ujue hajachagua kwa utashi wake bali kwa shinikizo la baadhi ya influencial mafisadis na akina 6
 
TBC Radio wako live IKULU anasubiriwa mheshimiwa Rais kutangaza Rasmi Baraza lake la Mawaziri
 
...WEEE NANI, SIJUI...! NIletee hizo PoCorn zangu hapo Juu ya Kabati la Vyombo....! :hungry:
 
TBC Live sasa wamejiunga kutangazwa kwa baraza la mawaziri. Tusubiri muda si mchache JF itawajuza
 
Back
Top Bottom